Nashukuru JF kwa kunikutanisha na huyu mchumba japo tumeachana

Nashukuru JF kwa kunikutanisha na huyu mchumba japo tumeachana

Siku nyingine ni vema utueleze tangu awali mnapoanza kufanya miadi ili tuweze kukushauri nini cha kufanya ili yasikupate tena haya. Hivi sasa kilichosalia ni majuto ni mjukuu, kama ungetafuta ushauri mapema wanaojua wangekuambia nini cha kufanya
Nimekuelewa mkuu!
 
Aisee, hebu ntaftie mchumba wa muda mfupi. Hii mambo ya kuwekeza muda nimestukia hailipi. Awe na mshiko, hata kama sio handsome.
LiKe LiKe LiKe

yaani huu muda ndo umeniacha hoi?
Watu mnajua kupenda aisee.
 
Una bahati kweli, kabaki mmoja tu
anahela kama Jay Z afu hendisamu kama Wathila.

Aisee, hebu ntaftie mchumba wa muda mfupi. Hii mambo ya kuwekeza muda nimestukia hailipi. Awe na mshiko, hata kama sio handsome.
 
mh mkubwa..hiyo ilikuwa lust bana..na alikuwa anakutega au ni mtoto!
time will tell...
ila mlichofanya sio kizuri..dah! 6 wiks????
Tanzania bila Ukimwi inawezekana?
 
Huwezi kusimamia kucha,, we unataka akuambie live mpaka watoto wasikie?
 
Kwa hiyo umeamua uje hapa utueleze ni kiasi gani we ni mzinzi to the extent kwamba unakutana na mtu mtandaoni halafu unaanza kumega.pambafu:smash:
 
mh mkubwa..hiyo ilikuwa lust bana..na alikuwa anakutega au ni mtoto!
time will tell...
ila mlichofanya sio kizuri..dah! 6 wiks????
Tanzania bila Ukimwi inawezekana?

Unajua it depends mnataka nini kama nia yenu wote ni good time even two days can be allowed, kama ni long term relationship it will depend the more you get closer the longer the relationship mkikwazana even a week is a long time, after all wote ni grown ups, they should face consequences of their decisions.., lakini hakuna time frame ya baada ya muda gani ndio mnaweza kushare a bed
 
Back
Top Bottom