mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
๐๐๐๐๐Thubutu....!! Kakudanganya atakuwa na 51.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Thubutu....!! Kakudanganya atakuwa na 51.
kwan unaumri gan?Sio bonge tu! Sema bonge nyanya....![]()
Mkuu kumbe una cha 38? Anza kubuku Kitanda chako Sewahaji au Kibasila au Mwaisela pale Muhimbili National Hospital kwa matibabu zaidi.Kwa maumbile ya wanaume inapendeza awe na size 38 mwisho lakini akiwa na 40 na zaidi sio mbaya ni maumbile ambayo amepewa.
Mwanamke anapendezea akiwa na kiuno size 38 mpaka 43 kwani wao wamejiwa hips
37kwan unaumri gan?
Kiuno 51 na Umri 51 vile vile.kwan unaumri gan?
mzee hips hazikaagi kiunon.Kwa maumbile ya wanaume inapendeza awe na size 38 mwisho lakini akiwa na 40 na zaidi sio mbaya ni maumbile ambayo amepewa.
Mwanamke anapendezea akiwa na kiuno size 38 mpaka 43 kwani wao wamejiwa hips
Kilo ziendane na urefu kama wewe ni mfupi na una 79 ni overweight ila kwa mrefu mwenye 79 na kuendelea kulingana na urefu wake ni kilo ambazo ni sawa kwake pima BMI online kuna free websites nyingi tu.Tofauti ya mbili nzuri. Kilo 79 zangu, zako ngapi? ephen_
kama hivyo sawa. Maana umri huo mwanamke lazima utanuke nyonga, nyamanyama zinaongezeka,...
Nyonga zinatanuka mwanamke anapobalehe! Au uwewe unazungumzia nyonga gani?kama hivyo sawa. Maana umri huo mwanamke lazima utanuke nyonga, nyamanyama zinaongezeka,...
nan huyo wewe au!Kiuno 51 na Umri 51 vile vile.
๐คฃ๐คฃ unapenda kutupiaTupia video ukiwa unaukweka cz sina 51 ila 34
na unapojifungua zinatanuka piaNyonga zinatanuka mwanamke anapobalehe! Au uwewe unazungumzia nyonga gani?
Duh! Asante kwa taarifa ndio nimejua leona unapojifungua zinatanuka pia
๐Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya.
Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni changamoto, maana yake ana uzito mkubwa ambao unawaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Janabi ameyasema hayo leo Julai 28, 2024 wakati akizungumza na washiriki wa NBC Marathon jijini Dodoma.
Chanzo: mwananchi_official
Haya akina adriz, Arovera, King Kong III, Bujibuji Simba Nyamaume, mrangi na Bila bila Marafiki zangu wenye Viuno kuanzia 43 hadi 49 huu ni wakati sasa wa ama kuvipunguza muwe kama Mimi GENTAMYCINE mwenye 36 au anzeni mapema sana kuandaa Vitanda vyenu pale Wodi za Mwaisela, Sewahaji na Kibasila Muhimbili National Hospital.
Hivi ni Janabi au Hanabi? Au ni jina lilelile lugha mbili tofauti?Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
una kgm ngap?31/32
Sijui exactly ni ipi maana inategemea na surual nayovaaa jeans mara nyingi 31 ila cadate 31/32
ndiomaana mishangazi wanasifa ya kuwa na minyamanyama na viuno vipanaDuh! Asante kwa taarifa ndio nimejua leo
kumbe ephen_ ni heavy weight75-79kg