Nashukuru kiuno changu ni 36 tu, hivyo ni miongoni mwa wale ambao sipo hatarini kukumbwa na tatizo lolote

Kwa maumbile ya wanaume inapendeza awe na size 38 mwisho lakini akiwa na 40 na zaidi sio mbaya ni maumbile ambayo amepewa.

Mwanamke anapendezea akiwa na kiuno size 38 mpaka 43 kwani wao wamejiwa hips
 
Kwa maumbile ya wanaume inapendeza awe na size 38 mwisho lakini akiwa na 40 na zaidi sio mbaya ni maumbile ambayo amepewa.

Mwanamke anapendezea akiwa na kiuno size 38 mpaka 43 kwani wao wamejiwa hips
Mkuu kumbe una cha 38? Anza kubuku Kitanda chako Sewahaji au Kibasila au Mwaisela pale Muhimbili National Hospital kwa matibabu zaidi.
 
πŸ˜…
 
Hivi ni Janabi au Hanabi? Au ni jina lilelile lugha mbili tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…