Mfarisayomtata JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 474 Reaction score 188 Oct 17, 2012 #1 Huwa nayapenda sana majibu ya wana-jf, asa leo nataka kujifunza kutongoza mschana, hebu niambieni nikasemeji nikishakutana nae??
Huwa nayapenda sana majibu ya wana-jf, asa leo nataka kujifunza kutongoza mschana, hebu niambieni nikasemeji nikishakutana nae??
EXTERMINATOR JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 343 Reaction score 90 Oct 17, 2012 #2 naomba nile
S SHERRIE Member Joined Mar 22, 2012 Posts 76 Reaction score 19 Oct 17, 2012 #3 Mfarisayomtata said: Huwa nayapenda sana majibu ya wana-jf, asa leo nataka kujifunza kutongoza mschana, hebu niambieni nikasemeji nikishakutana nae?? Click to expand... shkamoo, naomba shinkumi.....
Mfarisayomtata said: Huwa nayapenda sana majibu ya wana-jf, asa leo nataka kujifunza kutongoza mschana, hebu niambieni nikasemeji nikishakutana nae?? Click to expand... shkamoo, naomba shinkumi.....
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Oct 17, 2012 #4 Nakupenda kama kiazi cha kuchoma...
Mkubwa Jalala Senior Member Joined Mar 21, 2012 Posts 112 Reaction score 23 Oct 17, 2012 #5 Moyo wangu umekudondokea, silali ninakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glass na nikienda chooni nakuona kwenye tundu ya choo.
Moyo wangu umekudondokea, silali ninakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glass na nikienda chooni nakuona kwenye tundu ya choo.
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,313 Reaction score 6,636 Oct 17, 2012 #6 nakupenda zaidi ya madereva wa bodaboda wananvyopendana,usiku nalala japokuwa macho sifungi,nakupenda kama navyopenda kunywa banana
nakupenda zaidi ya madereva wa bodaboda wananvyopendana,usiku nalala japokuwa macho sifungi,nakupenda kama navyopenda kunywa banana
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,731 Reaction score 5,675 Oct 17, 2012 #7 Mie nakutongoza,basi tongozeka tukafanye
O omahabuba Member Joined Mar 16, 2011 Posts 6 Reaction score 1 Oct 17, 2012 #8 twende tukaunganishe vikojoleo