Nashukuru Mungu kwa baraka hizi, biashara yangu imekua

Nimepotea wakati narudi.
Gari limekuja tupu la G/Mboto Masaki, nikapanda nikakaa nyuma huku nina earphone kumbe linaenda Mbagala.
Nimekuja kushtuka baadae baada ya kuona njia siielewi.
Hahahahaaa ....!!ndo ukubwa huo ndugu....kkubwa uwe na nauli mfukon..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri ni mzuri nimeupokea. Ila kukaa mwenyewe siku nzima kila siku nimeshindwa mimi ni mtumishi wa umma kazini natoka saa 10 jioni. Huwa naenda jioni SAA 12 na nakuwepo pia mwenyewe J'pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Once Warren Buffet alisema kuna vitu vikuu vitatu kwa majority ya watu ulimwenguni vinavyowarudisha nyuma kibiashara na kiuchumi ambavyo mtu mwenye nia ya kufanikiwa akiviepuka atafika mbali sana.

  • Wanawake
  • Pombe
  • Kamari
 
Mkuu hongera sana kwa hatua ulkyofanya.

Mimi nina mpango wa kufungua duka la reja reja pia

Na hapa leo ndo nimetoka kutafuta frem, ila kila ninapoenda, nakuta pana maduka mawili au matatu ya aina ninayotaka kufungua.

Em niambie mkuu, biashara itaenda vizuri kwenye competition kubwa kama hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatzo co mtaji wala co wew....tatzo ni huyo anayekaa hapo....!!ndo maana nnasema kuwa kama kweli una nia ya kuendeleza hyo biashara....kaa wew mwenyew
Ushauri ni mzuri nimeupokea. Ila kukaa mwenyewe siku nzima kila siku nimeshindwa mimi ni mtumishi wa umma kazini natoka saa 10 jioni. Huwa naenda jioni SAA 12 na nakuwepo pia mwenyewe J'pili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mimi mwenyew hapa nilipo kuna maduka ma3...!!ila just ubunifu tu ndo umenifiksha hapa nilipo...!!kila mtu ana ridhiki yake...wew ucangalie mtu...ongeza duka....uza vitu kwa bei iliyo pungufu kidogo...lugha nzuri kwa wateja....chukua mapungufu ya hao wenzio na yafanyie kazi...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu hakuna neno. Nitafanya hivyo... Ngoja nianze.

Nielekeze kuhusu hizo commission za maxmalipo na mobistok zipoje?

Namna ya kujisajili?

Maana nina till ya mpesa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati naanza nilikuwa sina hata sukari....wenzangu walikuw na kila kitu....nilikuwa na vocha tuuu...!!just kila kitu wanaenda maduka mengine....nilivumilia mpk nmejaza kila kitu

Sasa hat wao wenyew wenye maduka wanakuja kununua sukari na vocha hapa kwangu...walileta dharau sasa hv tunaheshimiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie fanyeni yooote ila nawaambieni enyi member wa JF hakuna biashara / kazi nzuri huku duniani kama Udalali / Middleman.

Amini nachokuambia. Find a niche and get to work.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nyie fanyeni yooote ila nawaambieni enyi member wa JF hakuna biashara / kazi nzuri huku duniani kama Udalali / Middleman.

Amini nachokuambia. Find a niche and get to work.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli ndugu...!!hii pia nmewah kuifanya....wakat nnauza duka nikawa napiga pia udalali wa vyumba mtandaon....nilipata elfu 80 nikiwa nmekaa tu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu naomba niuzie hiyo biashara kama inawezekana 0657623266
 
Once Warren Buffet alisema kuna vitu vikuu vitatu kwa majority ya watu ulimwenguni vinavyowarudisha nyuma kibiashara na kiuchumi ambavyo mtu mwenye nia ya kufanikiwa akiviepuka atafika mbali sana.

  • Wanawake
  • Pombe
  • Kamari
Sijihusishi na vyote lakini hali bado jojo

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Sasa mambo yakona mungu sisi inatuhusu nini ,siumshukuru kwasalana uongeze bidii
 
Tafuta fremu eneo lenye movement kubwa ya raia, ata maduka yakiwa kumi kama movement ya watu ni kubwa utatoboa tuu muhim ubunifu na lugha nzr kwa wateja, mimi kwenye kaduka kangu rafiki zangu wakubwa ni watoto, wakipita kwa mbali utasikia oyaaaaa niaje mshkaji. Hpo ni dogo wa la pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu biashara unasimama mwenyewe??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…