Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Umenufaika na nini hasa maana ushauri wa humu kwa sasa kejeli ni nyingi sio enzi zetu zile 2009
 
Hahaaa weweee acha utani
Siwezi kukutania Marry kwa sababu hatujawahi kuwa na utani me na wewe before. 😊

Nimeangalia picha yako nikiwa kwenye utulivu wa kimwili na kihisia,, itoshe kusema You look absolutely ravishing! πŸ€—

Halafu uzuri wewe wa kienyeji kabisa 😊
 
Mmmh aku
 
Tangu niachike mwaka Jana sijawahi na sitaki mwanaume
Kuachika ni njia ya kukutanisha na mwanaume sahihi wa maisha yako. Hivyo fungua mlango wako kwa mara nyingine tena. Huwezi kushindana na nature. Lazima uwe na mwanaume wa kukusisimua mwili.
 
Nitumie namba yako nikutumie hela ya lunch
 
Mambo ya humu we yasikie tu. Nina mabinti 7 (nimeoza 6 bado mmoja) na kuna wakati huwa napata uchungu na haya mambo. Binti asipojitambua yaani anageuzwa lab na mabaharia kama Rosa wa kwenye Rosa Mistika. Sipendi!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…