Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Mkuu Marry Diana habari ndugu yangu ,nilikuwa sijajua kama ni mgeni naomba nikueleze ukweli wa hili jamvi .
Watu wananibagua sana mimi nikiandika chochote nachekwa yaani nimenyanyasika mpaka sasa imefika hatua namuachia Mungu ila nashukuru wewe kwakuwa umejiunga .

Naomba uwe rafiki yangu zama PM yangu tuwe tunachati na kuliwazana .

Mimi sio mtundu wa kusema natongoza hapana ila naweza kusema tuwe wapenzi wa kirafiki tu

Karibu pm ndugu yangu
 
Tuchat hapahapa
 
mambo hayo Marry Diana
 
Playing the victim , huu mfumo matata sana , yani unakabia kwa juu halafu unafanya shambulio la kushtukiza, πŸ€”
 
Dah hiyo aya juu la kimalkia nimeichukua kama ilivyo nimetuma kwa mmoja alikua anazingua hata kupokea simu zangu ,naona katabasamu kasema nimpigie ,jf ni nyumbani kwa vichwa asee
 
Dah hiyo aya juu la kimalkia nimeichukua kama ilivyo nimetuma kwa mmoja alikua anazingua hata kupokea simu zangu ,naona katabasamu kasema nimpigie ,jf ni nyumbani kwa vichwa asee
Uelekeo ni Kibra sasa mkuu πŸ˜€
 
Gran pah, unayosema ni kweli, ila sasa hato sikiliza had limkute, hapo huko PM wanavyojaa ndo anaona kapatiaa, wacha wapasiane tyuuh.
Ila kuhusu picha za nyuchi, nacheka sana, sijui nakumbuka nn. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Najua unachokumbuka. Hekaheka za Selfika ama? πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Ukitaka mocktail na cocktail kali nakukabidhi kwa hutolewa kamwe mi -me
Ubwabwa mtamu na catress nakukabidhinkwa Mwachiluwi
Ukitaka Koka zenye barafu utalipa mwenyewe mcheki cocastic

Onyo usiwe mshamba saaana humu hutochekwa kamwe kama mshamba_hachekwi
 
Kumbuka humu wote wana magari na wote wasomi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…