Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #241
😂😂Ukitaka mocktail na cocktail kali nakukabidhi kwa hutolewa kamwe mi -me
Ubwabwa mtamu na catress nakukabidhinkwa Mwachiluwi
Ukitaka Koka zenye barafu utalipa mwenyewe mcheki cocastic
Onyo usiwe mshamba saaana humu hutochekwa kamwe kama mshamba_hachekwi
Usomi ni wao na magari ni yao.Kumbuka humu wote wana magari na wote wasomi .
Sawa karibu bibie...upo mkoa gani member mwenzetu wa JfSa
Usomi ni wao na magari ni yao.
Mimi Elimu yangu nimeishia form four,sina gari kazini naenda na daladala
Anataka aje akule kimasihara😎Namba tena? Wee unataka nini
HaaaaaAnataka aje akule kimasihara😎
Dar es salaamSawa karibu bibie...upo mkoa gani member mwenzetu wa Jf
Sio wewe ndio ulimuacha!??....Niliolewa, nikaachika
Wewe mwenyewe ulituambia tukuulize chochote au nasema uongo wana JamiiAfrika?Jamani haya maswali ya Una mume,umeolewa,Mimi sioni kama yanaumuhimu,mniulize mengine.
Mimi sitafuti mume humu
🤣😅😅 comments za wadau wengi zinachekesha sana.
NiliachwaSio wewe ndio ulimuacha!??....
Weee😂Marry Diana kuwa na amani hata kama uliachika mimi Mashamba Makubwa Nalima lakini pia una jina kama la Mama'ke Mama,kwa hiyo tupo compatible. Najua kina mzabzab watakusumbua sana ila wanachotaka ni mbususu tu,tafadhali usikubali. Badala yake nizingatie mimi sina Poor Brain kama wao ,ninachohitaji ni manyoyo tu mbususu nitapata kwingine. Asante my 😋.
Ombi kwa wanaume wote JF, tafadhali Nikifa MkeWangu Asiolewe.
Akaamka tu. ..nimekuacha nenda kwenu..... Bila sababu yeyote iwaye..!??Niliachwa
Umeanza vimaneno vyako kutaka kutuharibia Prime Ministers ( PM ) Guruz.Karibu Maria, uwe makini pia maana Shetani ni kama Simba angurumaye ila sio Simba, Simba wa Yuda ni Yesu
Jamani amerespond "weee na ki-emoji cha kucheka " 😂" " mniombee wakuu,najua compétition ni kubwa ila nitashinda tuWeee😂
Nilijifungua mtoto,akakaa siku mbili tu akafariki,baada ya hapo nikaambiwa nisirudi kwake na talaka ilitumwa tuAkaamka tu. ..nimekuacha nenda kwenu..... Bila sababu yeyote iwaye..!??
Humu watu wanatumia DP na ID fake. Hivyo wanakuchora tu- kwamba imekuwaje ukaamua kujianika hivyo, wakati si utamaduni wa humu ndani. Au na wewe unatuchora tu humu. Huenda hiyo DP na ID vyote ni fake 🤔Ndiyo
Woooiiiii.... Kwanza pole ..... Hamkuwa na mafarakano yeyote kabla na hamkuwashirikisha hata wazazi na washenga !?? .... PoleNilijifungua mtoto,akakaa siku mbili tu akafariki,baada ya hapo nikaambiwa nisirudi kwake na talaka ilitumwa tu