Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Mimi naitwa Jack sparrow ,je wewe hapo profile ni wewe halisi au ya kuzugia tu bibie?
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Sio min me tena??
Naona Mangi unajaribu bahati yako kwa mtoto Mariaโ€ฆ๐Ÿคฃ
 
Hii picha ni yako!? Umekaa kiwadada wa mujini mujini, kama wale wazee wa bleach, vikuku na wenzao wengineo..
Vipi unatumia telegram?
Maka matraco yako ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ujue we mjinga umenichekesha sana..!!

Wanaume humu wanafki sana mara kibao wanawaponda wadada wanaojibleach cha ajabu wameona avatar ya mtoa post amejikoboa hadi kawa mwekundu lakini wanajigonga..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ