Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ngosha em tulia hutaki baadae tupate picha mnato wambea tusebenze nazo jukwaani..!!

Hebu mkaribishe maria selfika tuone vitu buaanna..!! Unafeli wapi ngosha? ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ngosha em tulia hutaki baadae tupate picha mnato wambea tusebenze nazo jukwaani..!!

Hebu mkaribishe maria selfika tuone vitu buaanna..!! Unafeli wapi ngosha? ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Itafute comment niliyokutag jana sasa. Kuna binti naye nilikuwa najaribu kumtuliza maana mh!

Picha mnato unataka uone vuzi la kipilipili kama la selfika enzi zile? Siyo poa bana kwa binti kujidhalilisha hivyo. Na Maria naamini ni mkongwe anawazingua tu mabaharia ๐Ÿ˜‚
 
Marry Diana soma hapana uelewe wenzako humu walikuwa na moto kama wewe matokeo yake picha na video za nyuchi zilitembea mnoo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Acha kumtisha mrembo mwenye jina la mama wa Jesus ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Ya kweli haya
 
Ngosha mbona km hii imetoka moyoni sana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kuna kitu unajaribu kukifikisha ila kwa kupitia mlango wa pembeni..!!

Kwani na wewe kwenye ile list upo? ๐Ÿ˜œ
 
Gran pah, unayosema ni kweli, ila sasa hato sikiliza had limkute, hapo huko PM wanavyojaa ndo anaona kapatiaa, wacha wapasiane tyuuh.
Ila kuhusu picha za nyuchi, nacheka sana, sijui nakumbuka nn. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mnataka kufukua makaburi na babu yako udugu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Dah hiyo aya juu la kimalkia nimeichukua kama ilivyo nimetuma kwa mmoja alikua anazingua hata kupokea simu zangu ,naona katabasamu kasema nimpigie ,jf ni nyumbani kwa vichwa asee
Nakushauri huyo demu mpige chini ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ