Sio kweli mbona Dayana yupo poa tu katupumbaza wapi bwashee?Ila wabongo haswa wanaume kupumbazwa ni dakika sifuri sana. π
Kwa nini?Nakushauri huyo demu mpige chini πΉπΉ
Hujanielewa Bado bwashee..utanielewa lakini ukituliaSio kweli mbona Dayana yupo poa tu katupumbaza wapi bwashee?
Ungekaza mbona wakina Maria waelewa sana..!! πΉπΉπΉKanichomolea aseeπ
Hahaha ulianza kibabe ndio maana cuzn. Ungetulia tungeishi kama wapendwaCazee mbona mi hukunikaribisha hivi mpk nimekua mtukutu..!! π₯πΉπΉπΉ
Aisee nimekuwa busy huku site...bwana nimeanza kuweka msingi kwenye kiwanja changu . Sasa hawa mafundi ukiwa jf wanakuibia so nipo makini hapa site.mzabzab inakuaje hajatupia neno
Si unuse hata harufu ya kidagaaβ¦ πΉπΉShavu la nini na wewe unaniletea njaa sa hiπ€£π€£π€£
Kumbe kuna namna uliona nilikua navuta goma?Ungekaza mbona wakina Maria waelewa sana..!! πΉπΉπΉ
Hahahaha hilo neno shavu linaleta njaa kinoumaSi unuse hata harufu ya kidagaaβ¦ πΉπΉ
Shida ilianza na nyege ku recharge kila baada ya masaa 24Ila wabongo haswa wanaume kupumbazwa ni dakika sifuri sana. π
πΉπΉπΉ Mnataka kufukua makaburi ngosha..!!Itafute comment niliyokutag jana sasa. Kuna binti naye nilikuwa najaribu kumtuliza maana mh!
Picha mnato unataka uone vuzi la kipilipili kama la selfika enzi zile? Siyo poa bana kwa binti kujidhalilisha hivyo. Na Maria naamini ni mkongwe anawazingua tu mabaharia π
Bora ukae mbali malizia mjengo huo mkuuAisee nimekuwa busy huku site...bwana nimeanza kuweka msingi kwenye kiwanja changu . Sasa hawa mafundi ukiwa jf wanakuibia so nipo makini hapa site.
Niko serious kujenga sita mbususu mpaka nimalize boma langu
JF ni kichaka ohh..!! πΉUkute ni parody linatuchora tu
Jirani mjanja sana unatumia diplomasia..!!Dahππππ
Ubaya wako huwaga una kelele. List gani hiyo tena? Na mwanaume hata nikiwa kwenye hiyo list (whatever it is) unafikiri ni big deal?Ngosha mbona km hii imetoka moyoni sana..!! πΉπΉ
Kuna kitu unajaribu kukifikisha ila kwa kupitia mlango wa pembeni..!!
Kwani na wewe kwenye ile list upo? π
Kuna watu toka wadogo tuna uzoefu hata wa ku pupu vichakani ,hata kama kuna simba wakaliJF ni kichaka ohh..!! πΉ
Nimekuelewa vizuri πΉπΉSina mpango wa kuiomba,wala sijafikiria hilo suala.
We hujanielewa nilichomaanisha!!?ππ€£
Kwa hicho ki Elizabeth halafu kakuelewa..!! πΉKwa nini?