Cazee sasa chumba sebule cha nini? Halafu duniani wapitaji, si bora alete nikamuonyeshe chimbo la wine tamu..!! πΉKijana anajikomboa we unamuita Bar!? Kuwa na huruma cuzn
Siaminiki kivipi!?Wewe bhana huaminiki sheikh wangu..!! πΉπΉπΉ
Kwahiyo ana michezo ya mariamu biriani? π€£
Umekimbia yutiayi..!! πΉNiliona ushindani ni mkali nikaona nijiengue tuπ
Hajajibu kama yupo telegram ama lah!!Kisha ukipatiwa hilo jawabu? πΉπΉ
Hana bhanaUmekimbia yutiayi..!! πΉ
Telegram si ndo makao makuu ya wapika biriani au?? πΉπΉSiaminiki kivipi!?
Sijasema ana michezo ya kimariamu biriani, mbona unaninukuu vibaya wewe ππ€£
Tunampa β οΈ DA marry, πππππMnataka kufukua makaburi na babu yako udugu πΉπΉ
Tatizo lipo wapi hapo mkuu au ndio mbinu za kututoa mchezoni master?wakuu tuwe makini sana
View attachment 3327016
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemuβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyl
πππππ jamaniiiiTelegram si ndo makao makuu ya wapika biriani au?? πΉπΉ
Kuna channel moja niliingia kutafuta umbea wa Mange nikajikuta nimefata link laaaulaahh nikakutana na wadada wanajisell wanatuma video wako kichele..!! π₯
Halafu wengi wamekwiva kwa mikorogo jamani, papa zilivyoungua na cream sasa halafu mijamaa inazama uvinzaβ¦ πΉπΉ
iyo combination sio nzuri kwa afya zetuTatizo lipo wapi hapo mkuu au ndio mbinu za kututoa mchezoni master?
Ewaa, sasa umeanza kunielewa..π€£Telegram si ndo makao makuu ya wapika biriani au?? πΉπΉ
Kuna channel moja niliingia kutafuta umbea wa Mange nikajikuta nimefata link laaaulaahh nikakutana na wadada wanajisell wanatuma video wako kichele..!! π₯
Halafu wengi wamekwiva kwa mikorogo jamani, papa zilivyoungua na cream sasa halafu mijamaa inazama uvinzaβ¦ πΉπΉ
Mhm hana tatizo kabisa huyo acha kujifnya CIAiyo combination sio nzuri kwa afya zetu
ππππMhmmm acha nongwa
πΉπΉπΉTunampa β οΈ DA marry, πππππ
Asikae kizembee, akae kimastaa. Lol
Una wivu sana janeπ€ππππ
Telegram kwa moto, yani unajiuliza huyu kichwani zinamtosha kweli unalamba papa ya muuzaji?? πΉπΉπΉπππππ jamaniiii
πππππNajua unachokumbuka. Hekaheka za Selfika ama? ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ