Chukulia poa tu ,humu utani mwingi tu wala hakuna usiriazi kihivyoJamani,
Mimi Nina hofu ya Mungu lakini pia naishi maisha ya kawaida mno lakini naona kupost Kwa hii Mada naonekana Malaya
Eee Mungu nipe nguvu na ustahimilivu,
Maisha ni haya haya,kuna vitu nimejifunza kwenye hii post
Huko maporini unafanya nini?? πΉNgoja nirudi mjini nipo huku Ikungulyabashashi next week natia timu
Tatizo picha yako imewavutia mabro Maria πΉπΉJamani,
Mimi Nina hofu ya Mungu lakini pia naishi maisha ya kawaida mno lakini naona kupost Kwa hii Mada naonekana Malaya
Eee Mungu nipe nguvu na ustahimilivu,
Maisha ni haya haya,kuna vitu nimejifunza kwenye hii post
Kuna songombingo huku uraiani Mlongo analijua na nikamuuliza vipi Baba mjengo atasaidia ? Akasema Baba mjengo sio wa kawaida πππSehemu gani uliyakanyaga? πΉπΉ
Hebu fungua code bhana..!! πΉπΉKuna songombingo huku uraiani Mlongo analijua na nikamuuliza vipi Baba mjengo atasaidia ? Akasema Baba mjengo sio wa kawaida πππ
Baba mjengo naye alinitupa nikaamua kuanzisha movement binafsi kilichonikuta π©π©π©
Nikinywa maji nakuona kwenye glass πSema kweli?
Fwalaaa wewe pm umeifunga nakupaje code π€£π€£π€£Hebu fungua code bhana..!! πΉπΉ
Hilo songombingo la nani? Na Faza hausi yupi huyo xam?
Wauzaji official na unofficial.Kuuza wote tunauza kweli tofauti kuna direct na indirect πΉπΉπΉ
Kwani mkeo ulipewa bure? Ukimtumia humuachii pesa ya sabuni??
Tofauti hao wanauzia wengi, wewe unauziwa peke yako na mkeo..!! πΉ
πππππππΉπΉπΉ Huko x account nimesahau, aiseee watu wanalegeza suruali wanadinya wacheza vibao kata uduguu..!!
Kuna mmoja alinyonya papuchi kamkaba mdada mpk kafika kibo..!! π€£πΉπΉ
πΉπΉπΉ Pm yangu inazingua kitambo manyanza, we jitahidi kuweka code mi ntaelewa mbona..!!Fwalaaa wewe pm umeifunga nakupaje code π€£π€£π€£
Unataka wanifanye kama Mdude Chadema
Tunakufundisha basi ujanja wa humu hatutumii avatari za picha zetu pia hatutumii Ig za utambulisho wa majina yetu na uhusika wetu.Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemuβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Km anakupenda kwann akutajie zawadi? πΉπΉWauzaji official na unofficial.
Hapana mke wangu mie haniuzii, sawa nampa huduma zote hizo je namgonga kila siku? Kila siku anakula hela yangu, matumizi mengineyo, na mpaka likitokea jambo kwao mie nasimama kidete, je kila nikimhudumia namkula!?
Mke nilipewa bure!!??:
Jibu ni HAPANA,nilitoa mahari, je mahari ni kumnunua!?
Jibu pia HAPANA.
Mahari ni nini, according na mafundisho ya dini na imani yangu mimi, nilivyoelewa,
Mahari ni zawadi itokayo kwa mume kwenda kwa mke, baada ya kunikubali.
Mfano.
Nakuja kukuposa, we unanikubalia,huenda umekataa mengi, lakini pia kuja kukubali kuishi kwangu ni jambo kubwa kuna mengi, na ndio maana katika kuzunguka kwangu we ndio nikakuuona unanifaa. pale nakuuliza unataka zawadi gani, unanitajia ng'ombe, hela,hereni kiwanja, ama kitabu cha dini ama chochote kile...
Sasa hiyo zawadi π ndio mahari yenyewe, na ikiwa kweli una mapenzi nami wala mara nyingi mtu hataji zawadi ya kukomoana..
Ila mahari imetafsirika vibaya, imepokewa vibaya, imebadilishwa, mara wanataja wazee, mara mabinti ndio wanaona pakuvunia etc
πππππKm anakupenda kwann akutajie zawadi? πΉπΉ
Si aje bure uone km familia yake itakuelewa π€£
Sasa mtu akitaja ngβombe 20 si ndio kununuana kwenyewe huko sheikh wangu..πΉ
Mkeo humdinyi kila siku lakini si kuna kazi zingine anakufanyia kila siku. We bhana umeuziwa πΉπ€£