Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Ukweli mchungu huu mpwa
Ubarikiwe sana
 
Dah hiyo aya juu la kimalkia nimeichukua kama ilivyo nimetuma kwa mmoja alikua anazingua hata kupokea simu zangu ,naona katabasamu kasema nimpigie ,jf ni nyumbani kwa vichwa asee
Katibu katibu katibu nimekuita mara tatu 😀
 
Una sura ya ukauzu na komwe juu 😂
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…