Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Hapana ndiyo lakini katika kugombea jimbo hakuna rafiki wa kweli, kwakuwa wewe ilikuwa mtia nia wa mwanzo kabla yangu acha mimi nijitenge.Usihofu mkuu sisi wote ni pride moja wanyama walao nyama.
Kaka unataka picha inakidhi fantasy yako tu ,ubinafsi huo mkuu😁Una miaka mingapi?
Halafu toa hiyo picha Weka nyingine 😃😃😃
Mimi mpambe nuksi tu akiaanza kuniambia nywele zimefumuka soli ya kiatu inagusa kisogoni mkuu.Hapana ndiyo lakini katika kugombea jimbo hakuna rafiki wa kweli, kwakuwa wewe ilikuwa mtia nia wa mwanzo kabla yangu acha mimi nijitenge.
Baada ya dakika 90 nitakuja kucheki score board.
Njuka walikua kama kuruta wa shule,una milikijie Dem njuka Kwa mfano?!Umenikumbusha mbali sana,njuka,salamanda,Mugia, Bazooka,mjusi,form one ilikuwa shida!
Unakuta now tunasagiwa kunguni mara yule jamaa usimwone vile alishasemaga humu ana ukimwi 🤔Mbona hajibu msg, mmeenda nae PM nn?
🤣🤣🤣Mimi mpambe nuksi tu akiaanza kuniambia nywele zimefumuka soli ya kiatu inagusa kisogoni mkuu.
Kaka Kaka kifua kimekaa vibaya 😂😂😂Kaka unataka picha inakidhi fantasy yako tu ,ubinafsi huo mkuu😁
😂😂😂😂😂 kwann lakinii?cocastic kaka zako tumeambiwa sio watu kabisa, ss ni umbwa siyo Marry Diana?
Mwenye kisu kikali hula nyama bro , hapo yenyewe tayari umeshatusuta🤣Kaka Kaka kifua kimekaa vibaya 😂😂😂
Na midomo imekaa kusutana sutana 🤣🤣🤣
😂😂😂😂Mbona hajibu msg, mmeenda nae PM nn?
Vimba kibigwa master🤣🤣🤣
Basi utulie usimpindishie ridhiki mtoto wa watu Marry Diana njoo tuzungumze kwa kina hapa nilitaka kukuacha mwenyewe lakini nahisi hutokuwa salama
Hahaaa weweee acha utaniYou are the missing piece to my puzzle of happiness. Will you be my lover and complete my world? 😊
LUGHA YA MALKIA IKI KUCHANGANYA,, NIME MAANISHA HIVI 👇🏽
Wewe ndiye kipande kinachokosekana katika fumbo langu la furaha. Je, unaweza kuwa mpenzi wangu na kuikamilisha dunia yangu? 😊
Sasa mtu Kaijua jf juzi kati ...unauliza umri....kama ni WA kike ni kama kidakwa Cha kula na chumvi...Sina neno, karibu mzabzab kutia neno lolote, tukijua umri wako basi Poor Brain atakua na machache ya kuzogoa nawe.
Daah 😅Mwenye kisu kikali hula nyama bro , hapo yenyewe tayari umeshatusuta🤣
Kwanza najuta mpaka muda huu,Naona umeshobokewa sana. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani!
Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Ukizubaa tu utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali. Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
🤣🤣🤣🤣🤣Vimba kibigwa master