Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #161
Kwahiyo kosa langu nini,Daah 😅
Thamani yetu Wanaume ipo kwenye kujitafuta sio ya huyu mleta uzi, anajionhezea thamani halafu akipigwa tukio atakuja kusema Wanaume wa JF ni Mbwa tu. Maana marital status yake inasema ameachika.
Maria karibu sana humu ndani. Kuna kila aina ya watu hivyo ni lazima ujifunze kuwa mtulivu ili kuendana na kila mtu.Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Hapa ulikuwa ukisachi dalili za mimba, Ukimwi au U.T.I 😂Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja
Kaka mkubwa mbona kama hii naijua ? Mambo ya kujipakulia minyama ya kutosha katikati ya ubwabwa kimkakati sana🤔Naona umeshobokewa sana. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani!
Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Ukizubaa tu utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali. Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
Umeolewa?
Ndiyo
Tushike jibu gani hapa; ndiyo au hapana?Hapana
Marry Diana soma hapana uelewe wenzako humu walikuwa na moto kama wewe matokeo yake picha na video za nyuchi zilitembea mnoo 😅😅😅Naona umeshobokewa sana binti. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani! Ni kawaida hiyo na usijione kuwa we ni spesho sana.
Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Kama hujitambui utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali.
Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
Tangu niachike mwaka Jana sijawahi na sitaki mwanaumeTushike jibu gani hapa; ndiyo au hapana?
Na swali langu sasa:- umeshawahi kuchepuka?
Ila gran Pah siku hizi unapiga pale pale panapouma, umebadilka kweli, inaogopesha ujue.Naona umeshobokewa sana binti. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani! Ni kawaida hiyo na usijione kuwa we ni spesho sana.
Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Kama hujitambui utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali.
Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
Una miaka mingapi bibie ?Kwahiyo kosa langu nini,
Mbona wanisimanga
😂😂😂😂😂Marry Diana soma hapana uelewe wenzako humu walikuwa na moto kama wewe matokeo yake picha na video za nyuchi zilitembea mnoo 😅😅😅
nimelia sana, mtu mwenye thread ya kwanza kupost tena kasaidiwa na mods halafu analeta maneno mbofu mbofu.kwann lakinii?
Duh itakuwa iyunga hiyoUmenikumbusha mbali sana,njuka,salamanda,Mugia, Bazooka,mjusi,form one ilikuwa shida!
Mimi sina picha zozote zaidi ya picha uliyoiona hapo nimepiga mwaka JanaMarry Diana soma hapana uelewe wenzako humu walikuwa na moto kama wewe matokeo yake picha na video za nyuchi zilitembea mnoo 😅😅😅
Muache binti wa watu, aifurahie JF. lolUna miaka mingapi bibie ?
Vipi kuhusu naniliii unaweza?Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590] kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
I?Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Mambo ya humu we yasikie tu. Nina mabinti 7 (nimeoza 6 bado mmoja) na kuna wakati huwa napata uchungu na haya mambo. Binti asipojitambua yaani anageuzwa lab na mabaharia wa humu kama Rosa wa kwenye Rosa Mistika. Sipendi!Kaka mkubwa mbona kama hii naijua ? Mambo ya kujipakulia minyama ya kutosha katikati ya ubwabwa kimkakati sana🤔
Mwanamke akishajiita Ana Maria, happy upendo ,marry Diana na sio jina la baba yake kimbia uvunjike ,kataa ndoa 3:17 soma mpaka mstari wa 21.Daah 😅
Thamani yetu Wanaume ipo kwenye kujitafuta sio ya huyu mleta uzi, anajionhezea thamani halafu akipigwa tukio atakuja kusema Wanaume wa JF ni Mbwa tu. Maana marital status yake inasema ameachika.
Upo mkoa gan?Umeolewa?
Sasa kero yako nininimelia sana, mtu mwenye thread ya kwanza kupost tena kasaidiwa na mods halafu analeta maneno mbofu mbofu.
hv kwel?