fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
πππ€£Umeambiwa uweke namba utumiwe mapene, wewe unadengua
tatizo huyu Ushimen ana masihara sana unaweza dhania yuko serious kumbe ye anafanya utani πππ€£Umeambiwa uweke namba utumiwe mapene, wewe unadengua
Tunapambana sana ila tukifirisika mnatuona tΓ kataka tuu.Hongereni kwa kupambana wakuu,. Hakika familia ni faraja
Mtuombee tuπTunapambana sana ila tukifirisika mnatuona tΓ kataka tuu.
Tuwaombee bila kuwapa hela, maombi yatapokelewa kweli?Mtuombee tuπ
Jamaa umemkatili sana..Mie niko nayo mkuu,.
Kwanini mkuuπ¬π¬Jamaa umemkatili sana..
Mtuombee tusije kubadilikaTuwaombee bila kuwapa hela, maombi yatapokelewa kweli?
Familia inatia Nguvu kwenye utafutajiWell said bro. Furaha ipo katika vitu vidogo sana tunavyochukulia for granted.
Daima huwa napata faraja fulani nikirudi nyumbani na kukuta shangwe la kupokelewa na watoto, kupewa kesi zao za siku nzima na kukumbishiwa ahadi ya zawadi ulizotoa.
Kwa watoto wetu sisi ni kila kitu kwao. Huwa wanahisi baba anaweza fanya chochote kile, na hiyo inaleta hisia ya thamani kubwa katika mioyo yetu.
Nathamini sana ule usemi wa "chizi akiwa kazini, nyumbani ni baba".
Sometimes inakuwa hivyo brother.Nipo Dar es salaam.Bado nausoma mji.Salute kwa mabro wanaokusapoti kiuchumi sio , Basi sawa