Nashukuru Rais Kagame anaigopa Tanzania

Sawa kabisa Kinshasa hawezi kusema haiwatambui wanyamulenge kama raia wa Congo huku ikiitambua ardhi waliyo ikalia kwa zaidi ya miongo mitano kuwa ardhi ya Congo,, wawafukuze na ardhi yao ,wao wataona pa kwenda either kuanzisha taifa lao huru au kujiunga na Rwanda au Uganda.!
 
Hajielewi isee nasi zanzibar nayo ikadai mombasa na mafia maana huko kote palikuwa ni mali ya zanzibar..

Na kenya ije ichukue kilimanjaro maana ilikuwa side ya kenya..
 
Waswahili tunasema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, yaani P.Kagame aigope Tanzania wakati ni mali yake?
unavutaga bangi kutwa mara tatu nakushauri punguza japo kutwa mara moja......alafu usivutie chooni....
 
Mkuu Kagame haiogopi Tanznaia anaiheshimu tu, Ruwana wana uwezo ata kusimama na baadhi ya nchi za ulaya kivita sio tu huko Tz mbako kila siku tunakuoneni kwenye sherehe mnapinda nondo na kuvunja tufali kwa ngumi, ruwanda ana technologia zaidi kuliko huko tanganyika
 
We kweli mbumbumbu hivi unazan aman ya Tanzania inakuja kwa bahati mbaya eeh , kwa mali iliokua nayo Tanzania halafu unaona magaidi wanazunguka tu kwenye nchi za pembeni unazan hawataman Tanzania ? Kaa ukijua hakuna aman inayokuja kwa bahati na sabu ukiona nchi imetulie basi ujue katika upelelezi na nidhamu jeshini ipo juu wewe umedumaa akili na teknolojia tu hata ukiwa na vifaa vya kisasa kama mbinu dhaifu na hakuna nidhamu hivyo vifaa vitakuwa mzigo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…