Nashukuru sana Uongozi wa JamiiForum kwa kunitambua kama Moja ya wanachama wenye mchango kwa mwaka 2024

Nashukuru sana Uongozi wa JamiiForum kwa kunitambua kama Moja ya wanachama wenye mchango kwa mwaka 2024

NASHUKURU SANA Mkuu.

Hata hivyo Mkuu katika angle ambayo nimebobea zaidi ni Dini kuliko siasa na jamii.
Mzeewetu km umewehuka km kuna ndugu wa karibu waambie wakushikie simu zipite siku hata 3 ndio ushike simu maana umedatishwa na tunzo ambayo cocastic alipopata alichukulia km jambo la kawaida tu
 
Mzeewetu km umewehuka km kuna ndugu wa karibu waambie wakushikie simu zipite siku hata 3 ndio ushike simu maana umedatishwa na tunzo ambayo cocastic alipopata alichukulia km jambo la kawaida tu

Nashukuru Daktari. Ile division one uliipata kihalali Kabisa. Wewe NI Genius
 
Hawezi sema hio ni Siri ya Ofisi wewe ukitaka na wewe ujue wanaweka kiasi gani anza kushusha riwaya zako zisizo na mwisho utakula tunzo

Mkûu kama imekuuma Sana. Pole Sana.
Kwa nini usianzishe na wéwe Jambo Lako Kisha utoe Tuzo Kwa jinsi utakavyoona?

Kujishughulisha na mambo àmbayo hayakuhusu na Huwezi kuyabadilisha sio Jambo Zuri Kwa Mtu àmbaye anajitambua
 
Back
Top Bottom