Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Hongera sana,
Unaandika vyema mambo ya Kijamii kidogo siasa,
Kwenye Imani Huwa unapuyanga,
Jikite kwenye angle unazoweza kufanya vizuri zaidi.
Ubarikiwe 🙏
Hongera Robert.
JF inafanya vizuri kutambua wanachama wake wanaofanya vizuri.
Hongera, hakika unastahili mkuu.
Umepata kiasi gani?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Babu acha mbambamba jibu swali umetumiwa email, PM au umepigiliwa simu? Jibu moja, umesema kuna mdau aliku-PM umeshinda tunzo ni mdau gani? Funguka usiwe km unakimbizwaNgoja niliangalie
Issue sio pesa usishushe credibility yako kijinga master punguza hizoMwenyekiti wa kataa ndoa. Kwa Sasa Mimi sio mwenzako. Pesa ipo😀
Mzeewetu km umewehuka km kuna ndugu wa karibu waambie wakushikie simu zipite siku hata 3 ndio ushike simu maana umedatishwa na tunzo ambayo cocastic alipopata alichukulia km jambo la kawaida tuNASHUKURU SANA Mkuu.
Hata hivyo Mkuu katika angle ambayo nimebobea zaidi ni Dini kuliko siasa na jamii.
Hawezi sema hio ni Siri ya Ofisi wewe ukitaka na wewe ujue wanaweka kiasi gani anza kushusha riwaya zako zisizo na mwisho utakula tunzoHongera sana,useme pia JF wamekupa bahasha ya Sh Ngapi,ili wengine pia waweke Majina halisia...
Hongera sana,useme pia JF wamekupa bahasha ya Sh Ngapi,ili wengine pia waweke Majina halisia...
Yako hongera mtibeli
Hawezi sema hio ni Siri ya Ofisi wewe ukitaka na wewe ujue wanaweka kiasi gani anza kushusha riwaya zako zisizo na mwisho utakula tunzo
Issue sio pesa usishushe credibility yako kijinga master punguza hizo
Pumzika sasa