Nashukuru ubatizo wa mwanangu umeisha salama sasa ataitwa Ben Membe.

Masikini mwanao atakuwa wa kushindwa maisha milele walahi
Chadrama mcharuko kuweni na aibu kidogo ehhh
 

Acha ku generalize mambo mtoto mdogo
Hii mizee ya chadrama imepewa visenti sasa wamekunywa togwa wamecharuka
 
Duh, hivi tunasonga mbele au tunarudi nyuma? Mbona watumishi hawapandi madaraja? Mbona mishahara haiongezeki? Vipi kuhusu 25:75? Vipi kuhusu kuanguka kwa thamani ya pesa yetu? Vipi kuhusu kupungua kwa ubora wa kiwango cha elimu? Vipi kuhusu kufungwa kwa biashara mbali mbali?
 
Acha ku generalize mambo mtoto mdogo
Hii mizee ya chadrama imepewa visenti sasa wamekunywa togwa wamecharuka
Mmh nahisi hujanielewa na mimi pia sijakuelewa hata kidogo.
Nifafanulie hii kauli yako "Acha ku generalize mambo.."
Pengine kuna kitu sikijui nipe mwanga niende sawa na uhalisia wa mambo.

Mimi sijui umri wako na bila shaka hujui wangu. Nashangaa ghafla nimekuwa mtoto mdogo kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…