Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hill hats watoto wadogo wanalifahamuHa ha ha hahaaaaaaa.... 2020 Twende na Membe! Rais mzalendo wa kweli na Mwenye dhamira ya kweli ya kuwatumikia wanyonge na kuwainua.
Bongo kuna siasa za ajabu!!
Ghafla kila ktk thread 10 unakuta 6 zinamhusu Membe.
Inaweza kuwa mkakati wa kumuangamiza Membe kisiasa aonekane anataka kumng'oa mtu.
Au ni mkakati rasmi wa kumrudisha kwenye ramani za siasa za kugombea uraisi ndungu Membe.
Yote kwa yote naona mkakati ambao hautafanikiwa iwe kumuangamiza au kumuinua kisiasa. Na akifanikiwa basi awamu yake itapata shida kama zile alizokutana nazo JK.
Duh, hivi tunasonga mbele au tunarudi nyuma? Mbona watumishi hawapandi madaraja? Mbona mishahara haiongezeki? Vipi kuhusu 25:75? Vipi kuhusu kuanguka kwa thamani ya pesa yetu? Vipi kuhusu kupungua kwa ubora wa kiwango cha elimu? Vipi kuhusu kufungwa kwa biashara mbali mbali?Naona Membe na watu walio nyuma yake wakishindwa.
Sasa naanza kuamini Membe anatumiwa kumtingisha baba J.
Lakini shida ya watu wengi wakiwamo hao wa Membe na Membe mwenyewe wamem-under estimate baba J wanadhani anayofanya yote ni kwa akili na nguvu yake mwenyewe na wengine wanapokea maagizo tu. Kumbe huyo mzee si mdharau lakini hawezi kuwa na mikakati mizuri namna anavyofanya bila kuwa na jopo la watu ambao ni makini sana na wanaoweza kulazimisha maamuzi magumu.
Kifupi watu wa baba J ni ruthless kwelikweli. Kwa njia yoyote ile wakitaka kitu kumlinda mtu wao wanafanya bila kusita. Kifupi wao ndio Tanzania uionayo leo ya kibabe kimaslahi. By hooks and crooks watailinda Tanzania na watamlinda wanaeamini ataisogeza mbele Tanzania.
Membe na wenzie wakifanikiwa basi nchi itabaki kama Libya, Iraq au DRC.
Mmh nahisi hujanielewa na mimi pia sijakuelewa hata kidogo.Acha ku generalize mambo mtoto mdogo
Hii mizee ya chadrama imepewa visenti sasa wamekunywa togwa wamecharuka