Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Shukrani sanaHongera sana
Asante sana nashangaa kwanini watu wanaua viumbe visivo na hatia.Hongera mjumbe
Asante sana mkuu japo watoto wa kike pasua kichwaKila la kheir katika malezi ya mtoto
Hongera,Ninaamini pia utafunga naye ndoa .ila huyo mtoto wake apate malezi ya wazazi wote wawili.,yaani hutasababisha huyo dada wa watu kuwa single motherHusika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba.
Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata ushauri huo.Leo nina nina furaha ya ajabu sana hakika kupata mtoto ni jambo la heri na faraja sana.Now akili imefunguka nimekuwa Baba.
Siyo kweli mkuu, hakuna mtoto pasua kichwa wote ni sawa, Jamii ndiyo inaamua mtoto aweje bila kujali jinsiaAsante sana mkuu japo watoto wa kike pasua kichwa
Ushauri mzuri sana huu,Hongera,Ninaamini pia utafunga naye ndoa .ila huyo mtoto wake apate malezi ya wazazi wote wawili.,yaani hutasababisha huyo dada wa watu kuwa single mother
Asante sana mkuu japo watoto wa kike pasua kich
Hongera ndugu....Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba.
Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata ushauri huo.Leo nina nina furaha ya ajabu sana hakika kupata mtoto ni jambo la heri na faraja sana.Now akili imefunguka nimekuwa Baba.
Ndio kwanza kaja duniani ushaanza malalamiko.....Asante sana mkuu japo watoto wa kike pasua kichwa
Hilo limeisha mbonaHongera,Ninaamini pia utafunga naye ndoa .ila huyo mtoto wake apate malezi ya wazazi wote wawili.,yaani hutasababisha huyo dada wa watu kuwa single mother
Asante mkuu ila ukweli lazima usemwe.Ndio kwanza kaja duniani ushaanza malalamiko.....
Hebu tulia mlee mtoto.
Sawa nitamfundisha kustake high gamblers wa kike ni balaa tupu..Ndio ulee sasa mfuasi sawa
Asante nimechukua point hapa.Siyo kweli mkuu, hakuna mtoto pasua kichwa wote ni sawa, Jamii ndiyo inaamua mtoto aweje bila kujali jinsia