Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jun 2, 2021 #21 kalovha said: Asante mkuu ila ukweli lazima usemwe. Click to expand... Wa kike pasua kichwa kwanini?
Top gun maverick JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,080 Reaction score 2,871 Jun 2, 2021 Thread starter #22 Evelyn Salt said: Wa kike pasua kichwa kwanini? Click to expand... Si unajua wakishafika ule umri wa adolescence wanakuwa hawakamatiki
Evelyn Salt said: Wa kike pasua kichwa kwanini? Click to expand... Si unajua wakishafika ule umri wa adolescence wanakuwa hawakamatiki
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jun 2, 2021 #23 kalovha said: Si unajua wakishafika ule umri wa adolescence wanakuwa hawakamatiki Click to expand... Wakiume wanakamatika?
kalovha said: Si unajua wakishafika ule umri wa adolescence wanakuwa hawakamatiki Click to expand... Wakiume wanakamatika?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jun 2, 2021 #24 Hongera mkuu
Political stability JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 906 Reaction score 1,401 Jun 2, 2021 #25 kalovha said: Si unajua wakishafika ule umri wa adolescence wanakuwa hawakamatiki Click to expand... Wewe lea, na yeye afike chuo , hahaha
kalovha said: Si unajua wakishafika ule umri wa adolescence wanakuwa hawakamatiki Click to expand... Wewe lea, na yeye afike chuo , hahaha
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,496 Reaction score 7,162 Jun 2, 2021 #26 kalovha said: Si unajua wakishafika ule umri wa adolescence wanakuwa hawakamatiki Click to expand... Usiseme hivyo... Hii ni tabia haiendani na jinsia..wa kiume unawajua vizuri?! Omba Mungu awe mtoto mwenye kheri..
kalovha said: Si unajua wakishafika ule umri wa adolescence wanakuwa hawakamatiki Click to expand... Usiseme hivyo... Hii ni tabia haiendani na jinsia..wa kiume unawajua vizuri?! Omba Mungu awe mtoto mwenye kheri..