Nashukuruni kwa kuja kunipa Kampani. Ila ndugu zanguni kwa aliyejisahau akaondoka na Iphone 11 Pro Max yangu namuomba

Nashukuruni kwa kuja kunipa Kampani. Ila ndugu zanguni kwa aliyejisahau akaondoka na Iphone 11 Pro Max yangu namuomba

Salamu kwako boss Kiduku Lilo.

We jamaa kama una-pretend basi unajua vingi mno especially maisha ya bata na mazagazaga yanayohusiana na life la kibata.

Ila kama ni real haya unayoandikaga humu basi nakupa salute boss.

Aisee alijisahau akapitia IPHONE 11 PRO MAX ya mkubwa arudishe maana najua mkubwa vitu vyake haviwezi kukaa tu kizembe bila ma-security na mambo mengine kama hayo, so kutumia itakuwa mziki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hukwenda safari zako za nje? Vipi marafiki zako wa USA, Spain na Italy haujakutana nao?. Fanya mpango ukutane nao .wakizingua wafuate
 
Kudukuuuu liloooo katika ubora wake
hutaki mke jmani [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Ni PM hiyo password mkuu nikutumie hizo documents.

Na nikweli nilijisahau, nilijua ni hii Tecno yangu Y3 hivyo nikabeba. Baada ya kuona hii post ndio ikabidi niichunguze na kuja kugundua kuwa katika hizi siku mbili tatu nilikuwa natumia iPhone 11 Pro Max.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom