Nasikia anayeandaliwa 2030 ni Simbachawene

Nasikia anayeandaliwa 2030 ni Simbachawene

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
454
Reaction score
1,270
Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.

Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.

Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
 
Hangaya mtampanikisha janami.

Sisi tunajua yeye ndo Yeye mpaka 2030
 
Mnapangiana tu watu wa kuendelea kuwagandamiza watanzania. Huyo Simbachawene kafanya jambo gani la maana kwenye nafasi zake alizowahi kushika??
Wanaamua kujipangia, kwa kuwa nchi bado haijapata Katiba mpya

Hivi pamoja na manung'uniko yote ya wananchi kuwa hivi sasa, kuhusu hizi tozo, bado mnafikiri mna hati ya kutawala nchi hii, hadi mwisho wa Dunia?

Naomba Mungu, uingilie Kati, kutuokoa wananchi wa nchi hii, ambao tunanyanyasika mno na watawala wetu
 
Sound from within
Soundcard from within
Soundcraft from within
Sound engineering from within
Lastly, Voice from within
Mama Samia mwacheni aendelee kuilambisha Asali nchi
 
Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.

Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.

Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Hivi bado Lacasa Chica wanapiga Disco pale Tanga?
 
Uzuzu mwingi mno unaanza kugeuka kuwa ni uchawi, yaani ccm wanajiona Mungu amewapa haki miliki ya nchi hii, na uzuzu wa working class humu umeshaaminishwa hivyo, ngoja nihamie Kenya
 
Back
Top Bottom