Nasikia anayeandaliwa 2030 ni Simbachawene

Hafai hata kidogo
Malez mabovu refer mtoto wake anaita askar wase.ng????
 
Mbona mi nasikia ni Tulia Akson Mwansasu
 
Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.

Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.

Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Tukimkosa Bishop twende na Mwigulu
 
Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.

Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.

Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Kwa Katiba hii hakuna hata haja ya maandalizi,hata Kingwendu akipitishwa na CCM anakuwa Rais saa nne tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.

Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.

Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Zitaishia kuwa TETESI, 2025 kwanza hakuna uchaguzi.
 
Pascal Mayalla hizi ndio mnaita voices from within? Kama zinatoka KWA YEYE basi yeye anayetajwa kwenye uzi huu atakuwa raisi lakini kama ni sauti tuu basi yeye anayetajwa hapa hatakuwa

Hii sauti sidhani kama inatoka kwa YEYE , maana kipawa cha kuisikia a voice within ni karama ambayo mtu hupewa na YEYE, na YEYE ana utaratibu maaalum wa kutaka ujumbe uwafikie waja ili watambue kwamba sauti hii inatoka kwa YEYE. Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom