Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukimkosa Bishop twende na MwiguluHizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.
Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.
Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Ni Mwigulu atatuvusha muraa🤔2025 wamemwandaa nani?
Basi sawa, ngoja nianze maandalizi ya kuhamia Burundi!Ni Mwigulu atatuvusha muraa
Kwa Katiba hii hakuna hata haja ya maandalizi,hata Kingwendu akipitishwa na CCM anakuwa Rais saa nne tu.Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.
Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.
Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Zitaishia kuwa TETESI, 2025 kwanza hakuna uchaguzi.Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.
Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.
Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Pascal Mayalla hizi ndio mnaita voices from within? Kama zinatoka KWA YEYE basi yeye anayetajwa kwenye uzi huu atakuwa raisi lakini kama ni sauti tuu basi yeye anayetajwa hapa hatakuwa