Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,270
Hangaya mtampanikisha janami.Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.
Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.
Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Wanaamua kujipangia, kwa kuwa nchi bado haijapata Katiba mpyaMnapangiana tu watu wa kuendelea kuwagandamiza watanzania. Huyo Simbachawene kafanya jambo gani la maana kwenye nafasi zake alizowahi kushika??
Kashiba DamuChawa
Ndiyo cha ajabu.Wameongea na Muumba?!
Hivi bado Lacasa Chica wanapiga Disco pale Tanga?Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.
Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.
Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Kulambisha asali au tozoSound from within
Soundcard from within
Soundcraft from within
Sound engineering from within
Lastly, Voice from within
Mama Samia mwacheni aendelee kuilambisha Asali nchi
Simba hilo jina tu litamwangusha
May be pia anafah Kam kweli ccm tumekoza mtu caliba ya magufuli bas apewe tu hkn jins
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app