Nasikia eti...supesho slidi

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Nasikia eti ugali wa dar ni mlaini kiasi kwamba ukitumbukiza sarafu ya shilingi hamsini, inazama...
 
Ndo upi huo, mbona ugali wa hapa home sarafu inabounce afu sio mweupe sijui ni unga gani huu!
 
Hivi hili ni fumbo kama sisi wanaume wa Dar tupo soft au??😡
 
Naskia eti wanaume wa dar ni wazee wa mishemishe hawajalishi kuwa ugali ni mlaini au laa
 
Wa Dar mkuje huku wale washamba wa maporini wanawachokonoa chokonoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…