Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
GGMU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barcelona ndio mwenye makombe mengi kuliko timu yoyote,,,,club gani yenye makombe mengi ulayaa???
timu kubwa haiwezi kuzidiwa hela na timu ndogo,hapo ukubwa haupo
timu kubwa haiwezi kuzidiwa hela na timu ndogo,hapo ukubwa haupo[/QUOT
Hela nyingi madeni pia ni mengi kuliko pesa ulio nayo kumbuka
Tutawanyoa bila maji hao Madrid, ndo mwanzo wa kushuka kiwango...mtashangaa!! kesho tunaweza kuwaacha wakapeta ila kwenye kombe wasahau.
Kwa hiyo unataka uniambie kati ya Yanga na Simba IPI ni klabu kubwa !?Timu kubwa haiwezi zidiwa makombe na timu ndogo. Ukubwa wa timu ya mpira wa miguu ni makombe.
Mkuu umeanza kufuatilia kabumbu miaka ya hivi karibuni?
Ujio Wa Mourinho angalau umefanya timu yetu kuwa na kiasi Fulani cha ujeuri sokoni kama inavyopasa kuwa. Mi naombea hii vita kati ya Real na Man U iendelee tu ili tuone nani atakayetokwa na damu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeanza kufuatilia kabumbu miaka ya hivi karibuni?
Kwa hiyo unataka uniambie kati ya Yanga na Simba IPI ni klabu kubwa !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi kwa kukariri wewe. Ninachofahamu kwa sasa wapo serious wanatafuta golikipa, na de gea bado ni main target kwao, wamchukue sasa. Madrid ya Leo sio ile ya juzi. Hii ya Leo na yenyewe inapata frustration sokoni. Masuala ya dream siku hizi hayapo,weka mkwanza mzuri mezani na uwe umefuzu UCL.Man UTD hana jeuri ya kushindana na real madrid sokoni. Namaanisha, madrid na man utd wote wawe serious juu ya kuhitaji kumsajili mchezaji fulani sokoni, ni real madrid ndo ataibuka kinara.
Na nikwambie tuu, real madrid ni ndoto ya kila mchezaji kuichezea.
Unaishi kwa kukariri wewe. Ninachofahamu kwa sasa wapo serious wanatafuta golikipa, na de gea bado ni main target kwao, wamchukue sasa. Madrid ya Leo sio ile ya juzi. Hii ya Leo na yenyewe inapata frustration sokoni. Masuala ya dream siku hizi hayapo,weka mkwanza mzuri mezani na uwe umefuzu UCL.
Sent using Jamii Forums mobile app