FactTofauti kubwa kati ya real Madrid na man united ,real Madrid anasajiri wachezaji Wa first eleven Wa man u,lakini man u husajiri wachezaji waliokosa namba real Madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wewe wanamuhitaji mchezaji gani Wa juu kwa sasa? Au hawahitaji mchezaji Mkubwa yeyote kwa sasa,au bado wana angalia angalia hawaoni?Madrid haijamtaka de gea, madrid ikimtaka de gea, si man u wala de gea mwenye jeuri ya kukataa. Hizo habar unazosema ni habari za magazeti ya udaku ya uingereza.
Taja wachezaji wawili waliokosa namba Madrid ambao Man u iliwasajili.Tofauti kubwa kati ya real Madrid na man united ,real Madrid anasajiri wachezaji Wa first eleven Wa man u,lakini man u husajiri wachezaji waliokosa namba real Madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wewe wanamuhitaji mchezaji gani Wa juu kwa sasa? Au hawahitaji mchezaji Mkubwa yeyote kwa sasa,au bado wana angalia angalia hawaoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwatazama hao wachezaji wawili,mbappe ni sahihi zaid,cz umri mdogo, lakini pia ameonyesha kiwango kikubwa sana msimu uliopita na ana promise sana. Ila kwa kuwa Madrid ya sasa inachungulia pia Mfuko utaona watavyofata mteremko. Kwa hyo watakimbia kina kirefu kwa mbape wataenda kwingine. Tena hata huyo aubameyang cjui kama watatoa hela watayotajiwa. Na siku hizi wana tabia wakishindwa jambo wanasema hatukuwahi kumhitaji, kama ilivyo kwa pogba.Baada ya kumuuza alvaro morata, madrid ipo katika radar na kumtafuta mbadala wa morata. Na kwa sasa walio katika radar ni Kylan Mbape, na Piere emerick Aubemeyang.
Club kubwa Barcelona?Club kubwa ni BARCELONA
Embu tutajie mmoja tuTofauti kubwa kati ya real Madrid na man united ,real Madrid anasajiri wachezaji Wa first eleven Wa man u,lakini man u husajiri wachezaji waliokosa namba real Madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo niaje?Tutawanyoa bila maji hao Madrid, ndo mwanzo wa kushuka kiwango...mtashangaa!! kesho tunaweza kuwaacha wakapeta ila kwenye kombe wasahau.