Nilitegemea utazungumzia mechi ya El HilalLeo nasikia harufu ya hat-trick kwenye mechi ya Yanga vs Ruvu Shooting.
Kwa hiyo wanangu wa simba tuseme mapema, je, Ruvu Shooting ni wabovu au siyo wabovu?
Bila muamala haiwezi kushndaYanga lzm ishinde leo
Nakuona Kalpana huachwi nyuma kutetea timu yako! Salut kwako mkuuWabovuuuuu tulishawapiga 7 haoooo
Tunapoteza muda siku ziende mkuu maisha bila kuchagua kitu cha kukipambania kikupe burudani au stress maisha hayaendi.Nakuona Kalpana huachwi nyuma kutetea timu yako! Salut kwako mkuu
Ruvu shooting ni wabovu ndio maana walinusurika kushuka daraja. Licha ya ubovu wao leo tutashuhudia mechi kama ile ya Azam. Tutatoa nao sare kwa mbinde na kwa msaada mkubwa wa refa.Leo nasikia harufu ya hat-trick kwenye mechi ya Yanga vs Ruvu Shooting.
Kwa hiyo wanangu wa simba tuseme mapema, je, Ruvu Shooting ni wabovu au siyo wabovu?
Upuuzi huo anafanya GSM tuMashabiki wa simba wangekuwa na uwezo, wangewahonga wachezaji wa Ruvu Shooting, leo wafie uwanjani! Ila ndiyo hivyo tena, huwezi kuzuia mvua kunyesha.