Nasikia harufu ya hat-trick leo kwenye mechi ya Yanga na Ruvu Shooting

Nasikia harufu ya hat-trick leo kwenye mechi ya Yanga na Ruvu Shooting

Leo nasikia harufu ya hat-trick kwenye mechi ya Yanga vs Ruvu Shooting.
Kwa hiyo wanangu wa simba tuseme mapema, je, Ruvu Shooting ni wabovu au siyo wabovu?
Nilitegemea utazungumzia mechi ya El Hilal
 
Nakuona Kalpana huachwi nyuma kutetea timu yako! Salut kwako mkuu
Tunapoteza muda siku ziende mkuu maisha bila kuchagua kitu cha kukipambania kikupe burudani au stress maisha hayaendi.
 
Leo nasikia harufu ya hat-trick kwenye mechi ya Yanga vs Ruvu Shooting.

Kwa hiyo wanangu wa simba tuseme mapema, je, Ruvu Shooting ni wabovu au siyo wabovu?
Ruvu shooting ni wabovu ndio maana walinusurika kushuka daraja. Licha ya ubovu wao leo tutashuhudia mechi kama ile ya Azam. Tutatoa nao sare kwa mbinde na kwa msaada mkubwa wa refa.
 
Mashabiki wa simba wangekuwa na uwezo, wangewahonga wachezaji wa Ruvu Shooting, leo wafie uwanjani! Ila ndiyo hivyo tena, huwezi kuzuia mvua kunyesha.
 
Hana baya kabsa mwana uto mwezetu leo tushuhudie pira kuanguka aunga
images (10).jpeg
images (10).jpeg
 
Makolo Vp Mbn Mnawashwa Washwa Kaeni Kwa Kutulia Mayele Afanye Yake Jioni Ya Leo [emoji28][emoji28][emoji28]
 
"Yanga wenye akili ni wawili tu. Mzee KIKWETE na manara tu" Haji sanday manara
 
Back
Top Bottom