Genius siku za Nyuma labda technology ishampiga gap ana baki kutoa ushauri tuanze kutumia technology zetu Sio za wazungu wasanii wa ngapi walikuwa na wapo chini ya Ruge wana mafanikio ganiRuge kwenye hii tasnia ni very genius br we tuliaa tuliii
He's waaay above yousiyo genius tulikuwa tumelala tu
Hating is dumbPole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu..Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya kijana wako anayeiongoza XXL hakushauri vizuri anadhani TZ ya 2000 ndiyo ya leo 2018..Poleni sana. B12 hana chakupoteza kuwa Makini Ruge hicho kiburi mnachojifanya mnataka kutupangia nyimbo za kusikiliza za wasanii wenu. Jirudini km haijawahi jioni.
Ruge umemtumia kijana Aslay kuwashusha magwiji..show ikabuma, Umwinyi wako ni suala la muda tu..Karma inakuja kwako..wat and see, ITAKUTAFUNA TU. Nasikia unawapiga biti wasanii wasifanye jingo na wasafi fm nayo inabuma..Ruge ni mfano wa tabia za kitanzania...zilizojaa fitina,wivu,majungu na husuda .eti tumemtoa wenyewe..sawa kwani vipi.. Opportunities wewe..
Uliwaonea sana wakina jide, sugu, ngwair..but now unabuma.
Nakumbuka ule mwaka Kanumba anakwenda big brother km guest list..Kanumba aliongea broken english .. nakumbuka jinsi kituo chako cha redio mlivotumia wiki nzima kumponda kwanini ameongea broken..Tanzania siyo English Native speaker kwahiyo hatuwezi kuwa fluent km Nchi zinaongea english 24/7. Najua sababu ya kumponda Kanumba vile kwakuwa hakutaka kwa chini yenu yaani baada ya kuushika mziki mkawa mnakuja na kwenye Movies..
Msiba wa Kanumba mlivyokuwa wanafiki mkawa km mmefiwa..the same to Ngwair,,mara ngap alikuwa analalamika ngoma hamzipigi kisa eti anazitoa kwa P. Mlimuwekea bifu Majani na wasanii walikuwa wanatoa ngoma kwa P hamzipigi. Youtube channels zinafanya poa..sihitaji tena kusikiliza redio kusikia nyimbo.
Clouds Karma inakuja kwenu..ni suala la Muda tu.
Ruge ona hii ndani ya 24 hours 800k viewers:
Wewe hata ukiamka ni sawa na umelala tu kwasababu wewe ni blind.siyo genius tulikuwa tumelala tu
Yanayowakumba ni yapi???Kawaulize hao clouds wakuhadithia yanayowakumba sasa
Umesema "labda"Genius siku za Nyuma labda technology ishampiga gap ana baki kutoa ushauri tuanze kutumia technology zetu Sio za wazungu wasanii wa ngapi walikuwa na wapo chini ya Ruge wana mafanikio gani
Hukupaswa kuja hapa na ID fake kumsema Ruge ambaye kila mtu anamjua ni nani. Wewe ungekuja na yale ambayo umefanya baada ya kuamka ili vijana wenzio wakufate wewe. Ruge ni Limited yaani kwa sauti ya Pwaguzi "Hafirisikiii" Instead of coming here crying, just do whatever you know to push yourself up on the stage. Usitafute umaarufu kwa kulet down wenzio.siyo genius tulikuwa tumelala tu
Pole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu..Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya kijana wako anayeiongoza XXL hakushauri vizuri anadhani TZ ya 2000 ndiyo ya leo 2018..Poleni sana. B12 hana chakupoteza kuwa Makini Ruge hicho kiburi mnachojifanya mnataka kutupangia nyimbo za kusikiliza za wasanii wenu. Jirudini km haijawahi jioni.
Ruge umemtumia kijana Aslay kuwashusha magwiji..show ikabuma, Umwinyi wako ni suala la muda tu..Karma inakuja kwako..wat and see, ITAKUTAFUNA TU. Nasikia unawapiga biti wasanii wasifanye jingo na wasafi fm nayo inabuma..Ruge ni mfano wa tabia za kitanzania...zilizojaa fitina,wivu,majungu na husuda .eti tumemtoa wenyewe..sawa kwani vipi.. Opportunities wewe..
Uliwaonea sana wakina jide, sugu, ngwair..but now unabuma.
Nakumbuka ule mwaka Kanumba anakwenda big brother km guest list..Kanumba aliongea broken english .. nakumbuka jinsi kituo chako cha redio mlivotumia wiki nzima kumponda kwanini ameongea broken..Tanzania siyo English Native speaker kwahiyo hatuwezi kuwa fluent km Nchi zinaongea english 24/7. Najua sababu ya kumponda Kanumba vile kwakuwa hakutaka kwa chini yenu yaani baada ya kuushika mziki mkawa mnakuja na kwenye Movies..
Msiba wa Kanumba mlivyokuwa wanafiki mkawa km mmefiwa..the same to Ngwair,,mara ngap alikuwa analalamika ngoma hamzipigi kisa eti anazitoa kwa P. Mlimuwekea bifu Majani na wasanii walikuwa wanatoa ngoma kwa P hamzipigi. Youtube channels zinafanya poa..sihitaji tena kusikiliza redio kusikia nyimbo.
Clouds Karma inakuja kwenu..ni suala la Muda tu.
Ruge ona hii ndani ya 24 hours 800k viewers:
Kila jambo na wakati wake chini ya jua!
Clouds is gone!
idea mbili tofauti..moja inamfunda bibi harusi nyingine ina bwana harusi ameoa..anamsifia mke wakeConcept ya Huu wimbo haina tofauti na wa Harmonise ft mjomba
Label moja idea moja nyimbo mbili kukosa ubunifu
Unless diamond anashindana na harmo
It applies to only those who believe in it thoKarma never losses its adress