Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Huyo Diamond wako unayetaka kumshindanisha na Ruge kwa kiasi kikubwa huyo Ruge bila kusahau mchango wa media zingine ndio waliomfikisha hapo alipo,lakini nyie mashabiki uchwara mnataka watu waamini kwamba Diamond kafika hapo kwa nguvu na uwezo wake mwenyewe,hapana mnakosea kushindanisha chuma na jiwe.
 
Pole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu..Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya kijana wako anayeiongoza XXL hakushauri vizuri anadhani TZ ya 2000 ndiyo ya leo 2018..Poleni sana. B12 hana chakupoteza kuwa Makini Ruge hicho kiburi mnachojifanya mnataka kutupangia nyimbo za kusikiliza za wasanii wenu. Jirudini km haijawahi jioni.

Ruge umemtumia kijana Aslay kuwashusha magwiji..show ikabuma, Umwinyi wako ni suala la muda tu..Karma inakuja kwako..wat and see, ITAKUTAFUNA TU. Nasikia unawapiga biti wasanii wasifanye jingo na wasafi fm nayo inabuma..Ruge ni mfano wa tabia za kitanzania...zilizojaa fitina,wivu,majungu na husuda .eti tumemtoa wenyewe..sawa kwani vipi.. Opportunities wewe..

Uliwaonea sana wakina jide, sugu, ngwair..but now unabuma.

Nakumbuka ule mwaka Kanumba anakwenda big brother km guest list..Kanumba aliongea broken english .. nakumbuka jinsi kituo chako cha redio mlivotumia wiki nzima kumponda kwanini ameongea broken..Tanzania siyo English Native speaker kwahiyo hatuwezi kuwa fluent km Nchi zinaongea english 24/7. Najua sababu ya kumponda Kanumba vile kwakuwa hakutaka kwa chini yenu yaani baada ya kuushika mziki mkawa mnakuja na kwenye Movies..

Msiba wa Kanumba mlivyokuwa wanafiki mkawa km mmefiwa..the same to Ngwair,,mara ngap alikuwa analalamika ngoma hamzipigi kisa eti anazitoa kwa P. Mlimuwekea bifu Majani na wasanii walikuwa wanatoa ngoma kwa P hamzipigi. Youtube channels zinafanya poa..sihitaji tena kusikiliza redio kusikia nyimbo.

Clouds Karma inakuja kwenu..ni suala la Muda tu.

Ruge ona hii ndani ya 24 hours 800k viewers:


Rugeeee mimi kutoka moyonii popote ulipo mkuu
Ufahamuu sijawai kuwa funs wako
Toka nikiwa chuo ulivyokuwa na tabia mbaya
Ya kuwalazimisha madenti wa chuo chetu mgegedooo wakiwa wanashindania U miss wa chuo chetuuu

Wee hufai kabisaaaaa ukaanzisha bidu na Jidee na sasa ivii unaona anavyotesaa
Na unatumia madaraka yako vibayaaaaaa

FUNZO KWAKO KUMBUKA HICHO KITI ULICHOKALIA WAPO WENGINA WATAKIKALIAA TUUU NI SUALA LA.MUDAA TUUU
NA AMBALO HUTAKI KUFANYIWA USIMFANYIE MWENZAKOOOOO
 
Ruge analipa mishahara,inshort anafanya biashara,wewe unakuja na ushabiki wako wa Wcb..kama youtube wasanii wanafanya poa hakuna haja ya kulalamika sasa..unajua watu sijui wanafikiria kwa kutumia akili gani!!...sio lazima clouds kucheza nyimbo zako kwani ile ni taasisi ya mtu binafsi..

ruge hana ubavu wa kulipa mtu mshahara yeye mwenyewe anasubiri salary mwisho wa mwezi kutoka kwa kusagas. amefanikiwa kudanganya raia kwa muda mrefu kwamba yeye ni mtu wa pekee sana ngoja tuone kama ataendelea kuaminisha hivyo ila clouds jahazi ni kama linazama, clouds ya sasa sio ile ilitupangia nani mkali na yupi sio mkali clouds ya kustaafisha wasanii muziki is no more
 
ruge hana ubavu wa kulipa mtu mshahara yeye mwenyewe anasubiri salary mwisho wa mwezi kutoka kwa kusagas. amefanikiwa kudanganya raia kwa muda mrefu kwamba yeye ni mtu wa pekee sana ngoja tuone kama ataendelea kuaminisha hivyo ila clouds jahazi ni kama linazama, clouds ya sasa sio ile ilitupangia nani mkali na yupi sio mkali clouds ya kustaafisha wasanii muziki is no more
Sasa watu wanalalamika nini sasa kama clouds wenyewe wamejifia??
 
Back
Top Bottom