DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Huu utafiti uliufanyia wapi ?50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu utafiti uliufanyia wapi ?50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Ulikuwa umelala wewe, andiko limekaa kishabiki zaidisiyo genius tulikuwa tumelala tu
i
idea mbili tofauti..moja inamfunda bibi harusi nyingine ina bwana harusi ameoa..anamsifia mke wake
Siyo kweliHalafu kingine Wasafi ni kampuni tanzu ya clouds wataalamu wa biashara wataaelewaa kama ukiona products moja imechokwa unafungua mpya unazishindanisha
Ruge nae anamkimbilia Le Mutuz 49?
Genius wa unyonyaji.?Ruge kwenye hii tasnia ni very genius br we tuliaa tuliii
Pole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu..Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya kijana wako anayeiongoza XXL hakushauri vizuri anadhani TZ ya 2000 ndiyo ya leo 2018..Poleni sana. B12 hana chakupoteza kuwa Makini Ruge hicho kiburi mnachojifanya mnataka kutupangia nyimbo za kusikiliza za wasanii wenu. Jirudini km haijawahi jioni.
Ruge umemtumia kijana Aslay kuwashusha magwiji..show ikabuma, Umwinyi wako ni suala la muda tu..Karma inakuja kwako..wat and see, ITAKUTAFUNA TU. Nasikia unawapiga biti wasanii wasifanye jingo na wasafi fm nayo inabuma..Ruge ni mfano wa tabia za kitanzania...zilizojaa fitina,wivu,majungu na husuda .eti tumemtoa wenyewe..sawa kwani vipi.. Opportunities wewe..
Uliwaonea sana wakina jide, sugu, ngwair..but now unabuma.
Nakumbuka ule mwaka Kanumba anakwenda big brother km guest list..Kanumba aliongea broken english .. nakumbuka jinsi kituo chako cha redio mlivotumia wiki nzima kumponda kwanini ameongea broken..Tanzania siyo English Native speaker kwahiyo hatuwezi kuwa fluent km Nchi zinaongea english 24/7. Najua sababu ya kumponda Kanumba vile kwakuwa hakutaka kwa chini yenu yaani baada ya kuushika mziki mkawa mnakuja na kwenye Movies..
Msiba wa Kanumba mlivyokuwa wanafiki mkawa km mmefiwa..the same to Ngwair,,mara ngap alikuwa analalamika ngoma hamzipigi kisa eti anazitoa kwa P. Mlimuwekea bifu Majani na wasanii walikuwa wanatoa ngoma kwa P hamzipigi. Youtube channels zinafanya poa..sihitaji tena kusikiliza redio kusikia nyimbo.
Clouds Karma inakuja kwenu..ni suala la Muda tu.
Ruge ona hii ndani ya 24 hours 800k viewers:
muangalie kwa jicho la tatu hapo majizo50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
amuangalie sana kwa jicho la tatu majizo mambo yanabadilika vibaya sanaresearch umefanya wapi hiyo
Ruge analipa mishahara,inshort anafanya biashara,wewe unakuja na ushabiki wako wa Wcb..kama youtube wasanii wanafanya poa hakuna haja ya kulalamika sasa..unajua watu sijui wanafikiria kwa kutumia akili gani!!...sio lazima clouds kucheza nyimbo zako kwani ile ni taasisi ya mtu binafsi..
Kwa mujibu wa mange au sio? sawa mtaalam wa biashara.Halafu kingine Wasafi ni kampuni tanzu ya clouds wataalamu wa biashara wataaelewaa kama ukiona products moja imechokwa unafungua mpya unazishindanisha
Sasa watu wanalalamika nini sasa kama clouds wenyewe wamejifia??ruge hana ubavu wa kulipa mtu mshahara yeye mwenyewe anasubiri salary mwisho wa mwezi kutoka kwa kusagas. amefanikiwa kudanganya raia kwa muda mrefu kwamba yeye ni mtu wa pekee sana ngoja tuone kama ataendelea kuaminisha hivyo ila clouds jahazi ni kama linazama, clouds ya sasa sio ile ilitupangia nani mkali na yupi sio mkali clouds ya kustaafisha wasanii muziki is no more
Harmonize ft Mjomba au Mjomba ft Harmonize?Concept ya Huu wimbo haina tofauti na wa Harmonise ft mjomba
Label moja idea moja nyimbo mbili kukosa ubunifu
Unless diamond anashindana na harmo
Sasa ni product ipi ya Clouds iliyochokwa? Clouds TV au Clouds FM?Halafu kingine Wasafi ni kampuni tanzu ya clouds wataalamu wa biashara wataaelewaa kama ukiona products moja imechokwa unafungua mpya unazishindanisha
Hakuna tatizo ila nimeshangaa bado hana mke mpaka umri huo wa kustahafu.Kuna tatizo katika hilo?