Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Umenena vema mkuu [emoji122]
 
i

idea mbili tofauti..moja inamfunda bibi harusi nyingine ina bwana harusi ameoa..anamsifia mke wake
Hamna kitu mule takataka tu ananyota ya kupendwa ila kiusanii chenga sana mule
 
Mkuu twende taratibu!

Umeanza kwa hoja kwamba "watu hawawezi kuandika kitu kwa kunukuu udaku!"

Now tell me: ipi source yako kwamba Wasafi TV ni ya Kusaga kama sio udaku wa Mange Kimambi?!

Hivi sio Mange Kimambi ndie aliandika 80% ya shares za Wasafi TV + Radio ni za Kusaga huku akitoa hoja za hovyo kabisa kutetea madai yake?

That's one; secondly unadai kwamba, possibly Kusaga ameamua kuanzisha Wasafi Media ili ku-rescue tarnished image ya Clouds kutokana na kuonesha wazi mrengo wao kisiasa na sakata la Makonda!

Now tell me: ni kwa namna gani unainusuru Clouds na u-CCM pamoja na Makonda kwa kumtumia mtu (Diamond) ambae ni proudly CCM na pia ni close ally wa yule yule mbaya wao Makonda?!

Hivi si ni hao hao unaodai wameacha upenzi kwa Clouds kutokana na Clouds kui-support CCM wazi wazi na ndio hao hao walikuwa wanadai Diamond lazima atashuka kutokana na kui-support CCM?!

Si ni hao hao ndio walikuwa wanalaani ukaribu wa Clouds na Makonda?

Sasa ni kwa namna gani tena Kusaga a-invest pesa zake kuwapata wapenzi wale wale (walioikimbia Clouds) kupitia mtu ambae ana elements zilezile walizozikimbia Clouds?!

Who's dumb here? Kusaga anayetoa sufuria lenye maji kutoka kwenye jiko la gas kwa hoja kwamba yanachelewa kuchemka na kuamua kulihamishia kwenye jiko la mkaa au dumb ni waliokuwa wapenzi wa Clouds walioikimbia Clouds kutokana na u-CCM wake ambao ni undisclosed huku ukiamini hivi sasa watahamia Wasafi Media chini ya mtu ambae amekuwa akiitumia brand yake wazi wazi kuikampenia CCM au tumalizane ki utu uzima kwamba your argument is inconclusive?!
 
Are you BRELA or do you have anything to prove that, owner of Wasafi TV is Mr Kusaga au ndio da mange kasema.
 

Kabla ya ku-express matamanio yako, najua unatamani owner asiwe Diamond.. Jaribu kupita pale brela umuone owner wa wasafi media ni nani.
 
Ok let me close this case now;-

1. Diamond kwa hatua aliyofikia sasa Ruge hana ubavu wa kumuangusha, nakubali Ruge ni 'jiniaz' ndio wa hii sekta ila amechelewa sana kudeal na Diamond coz ana fanbase kubwa mno kwenye mpira tunaita 'die hard fans' ambao wako tayari kumsapoti kwa lolote, ni rahisi kuwaangusha wasanii kama kina Nandy,Ruby ila sio rahisi/haiwezekani kumdondosha msanii mwenye hazina ya mashabiki kama Diamond. Huyu Diamond namfananisha na timu nnayoishabikia kule majuu 'Manchester United', ni timu ambayo imepitia katika kipindi kigumu kirefu kutokana na kuondoka kwa kocha wa muda mrefu SAF aliyeweza kuitengeneza vizuri hiyo timu, lakini pamoja na kushindwa kufanya vizuri kisoka still zinapotajwa timu zinazoingiza mkwanja mrefu ni lazima uitaje, viwanja vinajaa kama kawaida, na kwenye usajili wanamwaga mpunga wa kutosha huku wachezaji wakilipwa mishahara minono, hiki kiburi cha kufanya hivyo ni kutokana na msingi waliokwisha ujenga kwa mda mrefu 'fanbase' inayoendelea kuwapatia mapato ya kutosha hata wanapotetereka kisoka. Sasa huo ndio mtaji mkubwa alionao Diamond na WCB kwa ujumla.

2. Teknolojia,....Ruge na CMG waliweza kuwashika vilivyo wasanii wa bongo enzi hizo kwavile hawakuwa na alternative, kwa maana kama hausikiki redioni tena 'Redio pendwa' ndio basi tena kifo chako cha muziki kimefika. Dunia imebadilika, vijana waliokuwa wanasubiria XXL kusikiliza nyimbo mpya wengi wamehamia Instagram/You Tube, wimbo ukipigwa XXL tayari wanakuwa wameshaucheki You Tube ama wameudownload kwenye blogs, hawana muda wa kusubiri B 12 autambulishe na kuwaaminisha kwamba wimbo ni mzuri, wanajudge wenyewe kulingana na utashi wao, hili limethibitishwa kwenye uzinduzi wa wimbo wa AliKiba 'Mvumo wa Radi', pamoja na kutaka kuwaaminisha watu kuwa huo wimbo ni mkali sana ila watu wameukataa na umebuma[emoji16][emoji16][emoji16], hii ni one of the biggest disappointment CMG kuwahi kuipata, walijiaminisha kila wanachoamua kiwe juu lazima kiwe lakini kumbe sahivi watz wajanja sio wa enzi zile za kina Dudubaya[emoji23][emoji23][emoji23].

3. Mimi naamini WCB wataendelea kufanya vizuri, na kufanya kwao vizuri hakutaifanya CMG kupotea, wale jamaa wako vizuri kimkakati, na wenyewe wataendelea kulishika soko la entertainment tz japo ule 'umungumtu' wao hautakuwa kama zamani kutokana na upinzani wa media nyingine na nguvu ya mitandao. Kwasasa mitandao inanguvu sana asikwambie mtu kiasi kwamba imekuwa tishio kwa hawa wamiliki wa redio, ndio maana baada ya kugundua hilo kwa sasa karibu kila redio ina channel U Tube, account za Insta/Twitter ili kukabiliana na ushindani wa sasa.

CASE CLOSED!!!![emoji13]
 
Aaante
 
Hii nimeipenda, hasa hiyo sentensi ya mwisho
 
nasikiliza classic Fm.. clouds nasikiliza sports xtra.
 

Clouds ni kituo cha serikali?
 


Mkuu umeandika kwa hasira. pole sana. Inaonekana wewe ni muhanga wa huyo Ruge!! My friend kwenye biashara ni man eat man. Hakuna udugu wala urafiki. Ushauri wangu, na wewe pambana utoke. Hawa akina Ruge wapo wengi. Kama siyo yeye mwingine atafanya.
 
Kabla ya ku-express matamanio yako, najua unatamani owner asiwe Diamond.. Jaribu kupita pale brela umuone owner wa wasafi media ni nani.
ah ah hamna hata haja kiongozi ukienda website ya
Wasafi
aliyeitengeneza na kusimamia ni SETUPLIMITED
Home
ambao nao ni affiliated au makampuni yaliyochini ya kampuni mama
Home - Clouds Media Group ambapo ndani yake sijui wasafi redio,video,chibu perfume all that
so all in all
joseph kusaga na ruge mutahaba ni tanzania music industry GURUS .....wameshapita hii stage sijui ya kudondoshwa wapo level za kumiliki kama owners wa universal music group,columbia records ama universal music groups.....DIAMOND PLATNUMS is RICH as RICK ROSS BUT RUGE AND KUSAGA ARE WEALTHY MAZAFACKERS WHO Own MUSIC LABEL INDUSTRY LIKE TIDAL-JAY Z OR REVOLT-DIDDY......JIULIZE KWANINI MPAKA SASA WASAFI RADIO NA TV hazina website..maana mule lazima owner wawekwe wazi
 
porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…