Nasikia kama mabomu hivi yanalipuka

Nasikia kama mabomu hivi yanalipuka

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Sasa hivi nipo mashakani nasikia kama mabomu yanalipuka kama Yale ya mbagala... Kuna nini wadau??
 
Nenda chini ya uvungu wa kitanda faster mambo yatakaa sawa
 
Kuna mtu yupo Magomeni na yeye kanambia sasa hivi habari za mabomu.
 
Vuta mke na watoto mzame uvunguni hali ikitulia mtoke
 
Tuipongeze Serikali ya awamu ya tano, bila wao tusingesikia hiyo milipuko ya fataki.

Alisikika kada mtiifu akisema
 
Back
Top Bottom