Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hiyo?Sasa hv nipo mashakan naskia kama mabomu yanalipuka kama Yale ya mbagala... Kuna nini wadau??
Upo wapi Iraki au Kandahar?Sasa hv nipo mashakan naskia kama mabomu yanalipuka kama Yale ya mbagala... Kuna nini wadau??
Yeah, weekend hii kuna sherehe ya Wahindi. Diwali.Bila shaka watakua wale wanao sherekeaga kwa kupiga fatak mjini
hua ni sherehe za Diwali zina itwa nazani mnirekebishe wajuvi
Hahahaha nakazia hapoooo,Mapimbafuu hayoo mambwaa...
Bila shaka watakua wale wanao sherekeaga kwa kupiga fatak mjini
hua ni sherehe za Diwali zina itwa nazani mnirekebishe wajuvi