nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
- Thread starter
-
- #21
sijahesabu leo ni TBT nyuzi nilizonazo bado 8...vipi umefanikiwa kujua angalau majina ya vyuo aliposomea advanced diploma ya siasa huko China na degree ya mass comm huko south africa?kwa leo tu huu ni uzi wangapi umefungua kuhusu huyo manara?
Mbona kwenye IG page ya msukule wenu yuko bize kusakama Mo au hulioni hili?kwa leo tu huu ni uzi wangapi umefungua kuhusu huyo manara?
Maoni yake...we unataka GSM imsikilize Kivuyo!!!?soma kwanza waraka wa TOPOLO LENZAKO linaitwa Kivuyo Hemed Kivuyo atoa waraka mzito kumpinga Manara:atoa onyo Yanga SC
hahah me nina account ya JF tu.Mbona kwenye IG page ya msukule wenu yuko bize kusakama Mo au hulioni hili?
Basi tulia kiongozi wanguhahah me nina account ya JF tu.
Kumbe mko hapa kumpambania Moo 🤣 🤣 🤣
umekula shemeji?
Nisome waraka ili iweje, bado mnamkumbuka Manara na Manara kwa Bakheresa haondoki leo wala kesho.Niko na kazi ya ngumu sana ya kujaribu kulirekebisha Lopolopo ku behave kama mtu mwenye akili timamu ingawa ni kazi ngumu sana ,maana kabla hata sindano haijamfikia misukule ishaanza kujaribu kuzuia dozi..soma kwanza waraka mujarabu huu....
Achana na hao vilaza...bakhresa wanafanya na watu biashara na sio mapenzi kama hawa MAKOLO FC wanavyo force mambo yaweNisome waraka ili iweje, bado mnamkumbuka Manara na Manara kwa Bakheresa haondoki leo wala kesho.
Mtu kama mmeachana naye msimuongelee la sivyo bado mnamkumbuka.
Ndiyo maana tulimuambia Mo atulie tutajibu sisiMbona kwenye IG page ya msukule wenu yuko bize kusakama Mo au hulioni hili?
Unayataka matusi?huyo unayemtetea kamuulize mzee tozi ni nani halafu uje tena kuongea usenge wakoShemeji kwa kaka manara pole jamani mke wa kaka
Kwavile kuwa na wivu wa kike nacho ni kipaji ambacho sio rahisi kukiacha kirahisi rahisi, basi nikushauri "punguza wivu wa kike"!ach kuzisoma
Ndiyo maana tulimuambia Mo atulie tutajibu sisi
Unayataka matusi?huyo unayemtetea kamuulize mzee tozi ni nani halafu uje tena kuongea usenge wako
Mtanyooka tu huo wivu uta evolve hadi utakuwa wa kiume JINO KWA JINOHuu sasa ni wivu wa kike!! Target yako ni kufungua threads ngapi dhidi ya Manara kwa wiki?! Now assume ndo kweli ametimuliwa; je wewe kama Mwana-Makorokoro utanufaika na nini? Na kama aliweza kuwakera Yanga wakati sio Balozi wa Azam wala Asas, atashindwa nini kuwakera Makorokoro wakati akiwa sio balozi wa kampuni yoyote ile let alone Azam?
usirudie tena kuandika upuuzi nikiwa na post vitu muhimu vya kitaifa dunderheadEti matusi unamtishia nani. Naona unamtaja mume mwingine aisee
usirudie tena kuandika upuuzi nikiwa na post vitu muhimu vya kitaifa dunderhead
huwezi nipotezea focus wa sasas tutatukanana kwenye thread nyingine NIKO BIZE NA SUALA LA KITAIFANyooo heheheee mke wa manara bana
huwezi nipotezea focus wa sasas tutatukanana kwenye thread nyingine NIKO BIZE NA SUALA LA KITAIFA
asantePole sana
Huyu jamaa Ana element za like na roho ya kichawi achana naeHuu sasa ni wivu wa kike!! Target yako ni kufungua threads ngapi dhidi ya Manara kwa wiki?! Now assume ndo kweli ametimuliwa; je wewe kama Mwana-Makorokoro utanufaika na nini? Na kama aliweza kuwakera Yanga wakati sio Balozi wa Azam wala Asas, atashindwa nini kuwakera Makorokoro wakati akiwa sio balozi wa kampuni yoyote ile let alone Azam?
Kati ya watu wanaoteseka Manara kutoka Simb basi ni huyo jamaa aisee🤣🤣🤣🤣🤣Huu sasa ni wivu wa kike!! Target yako ni kufungua threads ngapi dhidi ya Manara kwa wiki?! Now assume ndo kweli ametimuliwa; je wewe kama Mwana-Makorokoro utanufaika na nini? ...