Nasikia katimuliwa ubalozi Azam

Nasikia katimuliwa ubalozi Azam

Kati ya watu wanaoteseka Manara kutoka Simb basi ni huyo jamaa aisee🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee Bakhressa hataki ujinga wa taasisi yake kutumika kwa ajili ya revenge ya mtu binafsi, atumie platform ya gsm na asas
 
Ndugu zangu ya kweli haya? Kwamba Azam media wameona ni ujinga kutumia taasisi yao ku facilitate vita binafsi? kama ni kweli basi hongereni sana azam tv

Abakize tu Asas ili akiwa anapost bidhaa zao atumie platform hiyo kutukana bidhaa za MO maana ndiyo style yake utasikia nipo na boss wa Asas ni tajiri kwelikweli huwa havuagi shati na siyo mbahili
nipo na boss wa Asas ni tajiri kwelikweli huwa havuagi shati na siyo mbahili 😂😂😂😂😂😈😈😇
 
We ni mmoja wa wajinga jeifu, Acha kufuatilia maisha ya mtu.....akiatolewa ubalozi azam wewe inakusaidia nn? Acha ujinga
Mkuu unaona sukule kuchangia Nugaz kutolewa kazi ni sahihi? dah si poa kabisa
 
Ndugu zangu ya kweli haya? Kwamba Azam media wameona ni ujinga kutumia taasisi yao ku facilitate vita binafsi? kama ni kweli basi hongereni sana azam tv

Abakize tu Asas ili akiwa anapost bidhaa zao atumie platform hiyo kutukana bidhaa za MO maana ndiyo style yake utasikia nipo na boss wa Asas ni tajiri kwelikweli huwa havuagi shati na siyo mbahili
Wivu ni kidonda, ukishiriki ugua pole
 
Watu wengine nikama mmerithishwa uchawi na bibi zenu.....uko busy kufuatilia maisha ya mtu kuliko unavyopambana na maisha yako binafsi
Wanasemaga ukiona mtu anakufuatilia jua anakukubali.

Kiufupi huyu jamaa anamkubali sana Manara sema tu mpaka sasa haamini kilichotokea bado na ndio sababu anaweweseko baya.

Kama vipi aje kwa Wananchi.

#Sisitunawatu.
 
🤣🤣🤣
Karibu Shadeeya naona unacheka kicheko cha post ya mwenzako aliyetaka kunitoa kwenye jukumu zito la kitaifa nilolkuwa nalo jana kurekebisha tabia sugu ya LOPOLOPO.

Nilimkumbusha tu kwamba mimi ni Nzagambadume a.k.a MZEE TOZI huyu anayesema mimi ni mke wake akaulize kule mitaa ya bandarini nani mke kati ya mimi na yeye mbona jiji zima linajua?
 
Wanasemaga ukiona mtu anakufuatilia jua anakukubali.

Kiufupi huyu jamaa anamkubali sana Manara sema tu mpaka sasa haamini kilichotokea bado na ndio sababu anaweweseko baya. 🤣
fasten your belts, ngoja nimalizie kula mihogo hapa nishushie na maji ya masafi toka Mohamed enterprises kuna posts nyingine za kutosha zinakuja.

Halafu ni facts tu, matusi yenu hayanitoi kwenye reli taifa zima linanitegemea kurekebisha tabia sugu chafu ya lopolopo
 
Back
Top Bottom