Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 145
- 41
Wahi kwa wataalam kapime sukari kwa kawaida kiwango cha sukari mwilini ni 4-7 ikizidi hapo tayari ni tatizo! Wahi hospitalNina tatizo la kuwa na kiu ya maji mara kwa mara hata nikinywa maji baada ya muda mfupi nasikia kiu tena pia asubuhi nikihamka nasikia kiu sijui ni Dalila za nini mwenye ufahamu anisadie
Zipo sababu nyingi tu za mtu kupata kiu ya mara kwa mara (polydipsia) kisukari ikiwa ni mojawapo. Dalili hii pekee haitoshi kuamua kwamba mtu anaumwa kisukari kwa hiyo naafiki na waliopendekeza kupimwa ili kupata uhakika. Ni muhimu pia kujua dalili nyingine kama kukojoa mkono mwingi mara kwa mara, kuhisi njaa mara kwa mara na kupata haja kubwa nyingi.Wahi kwa wataalam kapime sukari kwa kawaida kiwango cha sukari mwilini ni 4-7 ikizidi hapo tayari ni tatizo! Wahi hospital
Pole sana, Usistuke kwanza tupe :- umri wako, Hulka yako (mpole /mkali/mwepesi kupandisha/mvumilivu/nk nk)!1Nina tatizo la kuwa na kiu ya maji mara kwa mara hata nikinywa maji baada ya muda mfupi nasikia kiu tena.
Pia asubuhi nikihamka nasikia kiu sijui ni Dalili za nini mwenye ufahamu anisadie.
Pole sana, Usistuke kwanza tupe :- umri wako, Hulka yako (mpole /mkali/mwepesi kupandisha/mvumilivu/nk nk)!1
mengine ...
nawashukuru wote kwa ushauri wenu nimepima sina sukari hili tatizo nahisi kama liko kooni kwani wakati mwingine inakua kama kikoozi kizito hivyo kunilazimu kuhitaji kumeza mate mara kwa mara hivyo kunifanya nahiitaji majiPima kisukari
Ok.. Jeee ushajaribu maji ya mchai chai... unaongezea na juici ya ndimu !! unakunwa kama chai au kahawa !! Basi iwe dafi (warm drink) !!nawashukuru wote kwa ushauri wenu nimepima sina sukari hili tatizo nahisi kama liko kooni kwani wakati mwingine inakua kama kikoozi kizito hivyo kunilazimu kuhitaji kumeza mate mara kwa mara hivyo kunifanya nahiitaji maji
Ushauri wenu bado ni muhimu
Hivi hata mtoto mdogo naye anaweza kupata kisukari...!? Kuna rafiki yangu analalamika sana kuwa mwanae mwenye miezi 22 anakunywa maji sana hasa nyakati za usiku. mwanaye huyo na umbo kubwa na uzito wa kg 14. Wako Maeno ya Dar (Mbagala kuu)Mara nyingi huwa dalili za ugonjwa wa kisukari unakunyemelea
Kg14 !!! Serious!!?Hivi hata mtoto mdogo naye anaweza kupata kisukari...!? Kuna rafiki yangu analalamika sana kuwa mwanae mwenye miezi 22 anakunywa maji sana hasa nyakati za usiku. mwanaye huyo na umbo kubwa na uzito wa kg 14. Wako Maeno ya Dar (Mbagala kuu)