Nasikia kiu mara kwa mara

Nasikia kiu mara kwa mara

Kisukari icho. Acha kula vyakula vya wanga kama ugali, wali nk. Kula vyakula vya Protein, maziwa, ndizi zilizoiva za kukaanga nk. Pia kunywa Glucose nusu kibox kwa siku. Pia meza vidonge vya Vitamin B complex kimoja asubuhi na kimoja jioni.
Nina tatizo la kuwa na kiu ya maji mara kwa mara hata nikinywa maji baada ya muda mfupi nasikia kiu tena.

Pia asubuhi nikihamka nasikia kiu sijui ni Dalili za nini mwenye ufahamu anisadie.
 
Kuna mawili, hufanyi mazoezi na unapendelea kula wali sana, huchangia mrundikano wa sukari nyingi katika damu hivyo mara kwa mara ni Mtu wa kuhisi kiu
#2:
Ugonjwa wa kisukari unakunyemelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom