Nilisoma vibaya nilijua ana miaka 22 kumbe miezi[emoji4]Hivi hata mtoto mdogo naye anaweza kupata kisukari...!? Kuna rafiki yangu analalamika sana kuwa mwanae mwenye miezi 22 anakunywa maji sana hasa nyakati za usiku. mwanaye huyo na umbo kubwa na uzito wa kg 14. Wako Maeno ya Dar (Mbagala kuu)
ndiyo!! kipindi naandika post hiyo, huo ndiyo ulikuwa ukweli!!
Nina tatizo la kuwa na kiu ya maji mara kwa mara hata nikinywa maji baada ya muda mfupi nasikia kiu tena.
Pia asubuhi nikihamka nasikia kiu sijui ni Dalili za nini mwenye ufahamu anisadie.