Nasikia kumbe ukiwa Mtu wa CIA, MOSSAD na FSB unaongezewa 'Senses' zingine Mbili ili uwe Hatari Kiujasusi / Kinjagu je, ni zipi hizo?

Nasikia kumbe ukiwa Mtu wa CIA, MOSSAD na FSB unaongezewa 'Senses' zingine Mbili ili uwe Hatari Kiujasusi / Kinjagu je, ni zipi hizo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na wanasema zenyewe huwa zinakuwa nje ya zile Senses Tano ( 5 ) za Kawaida ambazo zinajulikana na zimezoeleka.

Ninazisubiria kutoka Kwenu Wajuaji!!!!
 
ni kama makomando wetu

lazima uwe na kahirizi maalum kwa ajili ya kuwa na machale (sio ya mganga)

lazima wakuongezee manguvu ya kupambana na watu wengi kwa wakati mmoja
 
ni kama makomando wetu

lazima uwe na kahirizi maalum kwa ajili ya kuwa na machale (sio ya mganga)

lazima wakuongezee manguvu ya kupambana na watu wengi kwa wakati mmoja
Nimecheka mno Mkuu.
 
Mnaleta mamb ya bing bang theory sio,, mwish mtatiambia vorcanic eruption inaweza jenga nyumba. Once ur created and born its over no more brain modification kwan Ubongo wa mwanadam ndo zawad kutoka kwa Mungu.
 
Money, the grease that oils of so much espionage.
 
Inategemea upo kundi gani la ujasusi! Kwa wale walioko na diplomatic cover mfano mabalozi na attaches hawaitaji mafunzo magumu na makali ya kikomando kama wale ambao ni illegals wasio na diplomatic cover. Maana lazima wapitie rigourous test na mafunzo heavy kwa ajili ya survival wakiwa field.
 
Back
Top Bottom