Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Chupi Industries
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhJamani wana jf naomba mnisaidie katika hili,juzi katika pita pita zangu nilikuta watu wakizungumzia kuhusu degree ambazo wanachuo huzipata huko wanakoita chuo kikuu.
Sikuelewa pale nilipomsikia mmoja wa wachangiaji wa ile mada akisema "kwani siku hizi ni degree basi!,ni degree za chupi tu"kwa sababu nilikuwa nasubiri gari sikuweza kumuelewa anamaanisha nini,hebu wewe nisaidie kama unaelewa
Asante!
Ahahaaaaahii kali kaka!
Umeipata wapi?
Yani degree chupi, kazini chupi, lifti chupi, hata ukitaka salary nayo itakuwa chupi tu!
Chupi system!