Nasikia kuna drafti mnacheza online hapa Tanzania. Nipeni link niwanyooshe

Nasikia kuna drafti mnacheza online hapa Tanzania. Nipeni link niwanyooshe

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Nasikia kuna hii kitu hapa bongo. Nipeni connection.
 
Online draft, sijaipata, sijui wamelala wanaoijua ama nao hawaijui kama mimi..

Lakini ushamalizana na bwana dalmax checker 100%?
 
Download app unaitwa DALMAX, select one player, kwenye game variant select Tanzanian rules, kwenye difficulty select 100%. Start the game kuanza halafu tuletee mrejesho ikiwezekana screen shot game unazompiga. Kila la heli
 
Back
Top Bottom