Nasikia kutakua na beach party kubwa Jumapili ya kusherehekea ushindi dhidi ya Corona

Nasikia kutakua na beach party kubwa Jumapili ya kusherehekea ushindi dhidi ya Corona

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kuna mipango kabambe inaandaliwa ya kufanya beach party kubwa sana ya kushangilia ushindi dhidi ya Corona Jumapili na kuna tetesi Diamond platnumz akaongoza shamra shamra hizo, hii imekaaje?
276DD738-F75E-4852-B086-B2B38F248B44.jpeg
 
Nitahakikisha Nina hé za mziki na Le Mutuz
Mwezi wa tatu huu sihudhurii bar. Nimemiss kongoro, supu ya mkia, paya, supu ya samaki ebwanae.

This time nitaanza na beer ya kizalendo. Safari beer. Nusu mkia au ulimi. No. Ulimi nitaongea sana nikilewa. Nitaanza na mkia. Yes mkia then safari beer briid zakutosha.
 
Back
Top Bottom