FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Dress code hamna kamandaKuna mipango kabambe inaandaliwa ya kufanya beach party kubwa sana ya kushangilia ushindi dhidi ya Corona jumapili, na kuna tetesi Diamond platnumz akaongoza shamra shamra hizo, hii imekaaje?
Sasa si ujinyonge tu, ya nini uteseke namna hiyo lakini?! 😂😂😂😂😂😂Tanzania tulikosega wapi sisi?
Mambo gani Haya? Kwa Mambo gani hasaaa yaliyofanywa kuidhibiti Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia tunatakiwa tu kupiga kelele kwa nguvu zote na kufungulia mziki hadi mwisho, beach we vaa bukta tu au bikiniDress code hamna kamanda
Wasage chupa wanywe tu kama vipiyap.ni kuluka nyoka mwanzo mwisho.
vizabi zabina mlioitabiria mabaya tanzania mje mshuhudie.mtakula na kunywa buure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutamgawan lemutuzNitahakikisha Nina hé za mziki na Le Mutuz
Mwezi wa tatu huu sihudhurii bar. Nimemiss kongoro, supu ya mkia, paya, supu ya samaki ebwanae.Nitahakikisha Nina hé za mziki na Le Mutuz